Wenzangu mnawapendaje mama zenu?

Wenzangu mnawapendaje mama zenu?

Upendo wa kweli ni upendo wa vitendo,mpende mama yako kwa vitendo nawe utaleta mrejesho hapa kuwa sasa hivi mama yako ana furahaa!!
 
Upo kama mm na mzee wangu Damn! Anaonaga simpend hata story naye zilishagagoma sijui kwann
 
Haha pole mkuu kwa hiyo unachukua hatua gani?
Tunaishi hivyo mi yanapotokea ya muhimu ya kuhusishana ndo tunafanya hivyo m mzee wangu sijakua naye na K ipindi nilichokua naye nilikuwa simwoni katika situation nzuri (ukatili)fulan
 
Tunaishi hivyo mi yanapotokea ya muhimu ya kuhusishana ndo tunafanya hivyo m mzee wangu sijakua naye na K ipindi nilichokua naye nilikuwa simwoni katika situation nzuri (ukatili)fulan
Shida yako ni ileile kama yangu...hujakulia kwake
 
inauma sana pale unapokuwa na Mama alie hai halafu unashindwa kumpenda!!.....imenitokea mimi and it is eating me alive!!!
Pole rafiki mimi nampenda my mom ila ndo kuonyesha yale mahaba siwezi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom