Wenzangu mnawapendaje mama zenu?

Wenzangu mnawapendaje mama zenu?

Mama yangu yupo hapahapa mjini toka 1978...tunaonana j3 na alhamic

Muwe mnatabia ya kuwaona wazazi wenu mwisho wa mwezi
Baba...mimi kufika aliko mama yangu natumia karibu laki moja nauli kwenda na kurudi hiyo mwisho wa mwezi tena changamoto nyingine.. Najitahidi kumtembelea angalau kila mwaka
 
Kuna bond inayotengenezwa kati y mtoto n mzazi hasa wakiishi pamoja....ikitokea mtoto kalelewa n MTU mwingine ile bond itapungua kw mzazi na matokeo yake ndo kama hayo yanayotokea...jitahidi kuwa unampigia simu kadri uwezavyo,mtumie meseji Nzuri na za kumfanya afeel unampenda ...itasaidia sana....ila hutakiw kujiona una mapungufu sio kosa lako mama dear
 
Asante dear btw hiyo Id yako inanikumbusha tamthiliya ya kikorea inaitwa Love Rain
 
Haha wewe na movie za kikorea mm nazipenda ila hayo majina yao siwezi kukariri.

Kuongea sana sio ishara ya upendo wewe endelea tu kumjali bi mkubwa kwa kumtembelea upatapo nafasi na zawadi kadri utakavyojaliwa bila kusahau kumpigia simu kumjulia hali.
 
Okey dear
 
Hiyo inatokea kama mtu haukuishi nae na hamkujenga bond, sio kwa mzazi tu. Mie nina dada zangu wa3 ila ninaconnection kubwa na dada yangu mkubwa kwasababu baada ya kifo cha mama niliishi nae, ni mkubwa sana kwangu aweza kuwa mama yangu lakini tunapigaga story sana.

Ila hao wengine wawili hata tukionana story hakuna za kiviile ni salamu tu baada ya hapo story zinakuwa ni za kuunga unga. Simply because sikuishi nao sana.

Kwahiyo mama sio kosa lako, hauna ile bond uliyopaswa kuijenga kwake tangu utotoni maana haukuishi nae.
 
Huu Uzi umenifanya nimpigie Mama niongee nae kwa dakika 10 na story kibao za kuchekesha.
Baada ya kuusoma huu uzi nimehisi ninahatia juu yake japo asbh alinipigia tukaongea kwa dk1:34.
 
Hata mama yangu nikimpigia stori ni za kuungaunga sana kwa hiyo mkemwenza unanishauri nifanyeje
 
[emoji23] [emoji23] wewe unafanya makusudi
 
Hata mama yangu nikimpigia stori ni za kuungaunga sana kwa hiyo mkemwenza unanishauri nifanyeje
We si umesema unampenda? Mi nafikiri kwakuwa hamna ile bond bi mkubwa anajistukia maana anahisi kuna mahali alikosea. Jitahidi maybe mtajenga bond ya uzeeni.
Ila yeye kama mzazi alipaswa atambue kuwa hilo silo kosa lako maana sasa ni kama anakuhukumu kwa kosa lisilo lako.
Upendo ni hisia, kama yeye anahisi haumpendi basi yeye ndio tatizo, jaribu kuongea nae kiutu uzima akuelewe.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom