Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 34,954
- 80,256
Mama hajakulea kiundani anayekujua wewe ni mkimya ni dada yako.[emoji23] [emoji23] shida ni kwamba mama yangu sio mtu wa utani sana mbaya zaidi mimi nikikutana na mtu mkimya tena ndo balaa dada yangu mmoja ndo anamuwezea anaongea kama chiriku
Mama anahisi haumpendi kwasababu kuna wa kukulingnisha naye ambaye ni dada yako.
Kama hautaweza kufanya unyohisi mama ataona unampenda basi be you kuna siku atakuelewa.