Wenzangu mnawapendaje mama zenu?

Wenzangu mnawapendaje mama zenu?

Mlezi ana nafasi kubwa ya kujenga ukaribu kuliko mzazi halisi, km mzazi upo na mwanao analelewa na mtu mwingine bila sababu za msingi basi jiandae kwa maumivu km anayokutana nayo mama yake khantwe, labda tu mlezi akiwa na roho mbaya kwa anaemlea
Hongera dada alikulea vyema



Dah, ulichokiandika hapa ndicho kimenifanya nimjali mama kijacho wangu, na kumpa ushirikiano haswa, maana kilichonikuta na wazazi wangu ni kama Khantwe hivi.
Nimepata shida za kila aina mikasa ya ajab ajabu.

Nimeapa nitawapenda wanangu sana na kuwapa kila watakacho.


Pole sana Khantwe maana historia haipakwi rangi
 
I miss my mom jamaniiii sikukuu hii sili pamoja nae dahhh!
Mama ni mtu muhimu sana duniani nivile tu ya dunia mengi

Poleni sana mliotofautiana na mama zenu kwa namna moja ama nyingine



God bless all moms

Cc Smart911
 
Alinitesa,kunitenga,kunikejeli,kuninyanyasa,na kunibagua!.....imeniathiri sana kisaikolojia nimejitahidi kumpenda ila nimeshindwa!!....i never give up ila kwenye hili nimeshindwa!!!
Pole sana aisee
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom