Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 62,097
- 127,830
- Thread starter
- #61
Amen mkemwenza nitajitahidiWe si umesema unampenda? Mi nafikiri kwakuwa hamna ile bond bi mkubwa anajistukia maana anahisi kuna mahali alikosea. Jitahidi maybe mtajenga bond ya uzeeni.
Ila yeye kama mzazi alipaswa atambue kuwa hilo silo kosa lako maana sasa ni kama anakuhukumu kwa kosa lisilo lako.
Upendo ni hisia, kama yeye anahisi haumpendi basi yeye ndio tatizo, jaribu kuongea nae kiutu uzima akuelewe.