Wenyeviti wa Bunge wote wako wapi?

Wenyeviti wa Bunge wote wako wapi?

Katika hili nawaonea huruma wana UKAWA,,,

Siamin kama kweli vichwa vyoote vile vya upinzani vimemshindwa huyu dada....
Dada kichwa kweli. Kapata First Class ya Sheria Mlimani. Utalinganisha na kichwa kipi pale UKAWA?
 
Hivi magwiji wa chama kama S.sitta wako wapi?na hapo ndipo ninapo ipenda ccm ikisha kutumia kama karai inakusukumia mbali kama Ngawaia Na Lamwai bila kumsaha Kabouru wa Kigoma
Tumeleta ingizo jipya. Si sawa na UKAWA mnaookoteza wazee waliojichokea kama Lowasa, Kingunge, Sumaye, Mgana Msindai, Hamisi Mgeja nk
 
Hivi unajua huyu dada Tulia afanani kabisa na mambo anayoyafanya. Mimi ningekuwa mume wake ningempa talaka. Sijui mumewe anaonaje.
 
Baada ya kuongoza karibu vikao vyote vya kujadili na kupitisha bajeti,Naibu Spika,Dr. Tulia Ackson,amechoka kimwili na kiroho. Anajipanga kuwapisha,kuongoza Bunge,wenyeviti watatu wa Bunge wakiwemo Chenge na Zungu.

Taarifa za kiintelijensia hapa Dodoma zinabainisha kuwa Dr. Tulia amewaambia watu wa karibu yake kuwa 'amesaidia vya kutosha na sasa anahitaji kupumzika'. Dr. Tulia anatajwa kama aliyetumika wakati wote wa bajeti 'kuwafukuza' Wabunge wa Upinzani kwakuwa Wabunge hao hawako tayari kuongowa nao Bungeni.

CCM na Serikali yetu tulimtumia Dr. Tulia ipasavyo katika kupunguza au kuondoa changamoto za Wabunge wa vyama vya upinzani wakati wa mjadala na kupitishwa kwa bajeti. Ni kusutwa kwa nafsi? Ni kuchoka kweli? Sasa wanarudi Chenge na Zungu!

Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Dodoma)
Kazi aliyotumwa imekamilika pia nafsi inazidi kumsuta
 
Hivi magwiji wa chama kama S.sitta wako wapi?na hapo ndipo ninapo ipenda ccm ikisha kutumia kama karai inakusukumia mbali kama Ngawaia Na Lamwai bila kumsaha Kabouru wa Kigoma
Hao washatupwa huko wanapambana na ugumu wa maisha kwani watakuwa wanasutwa na hata watoto wadogo
 
I sometimes wonder na mambo haya . UKAWA they are out CCM happy na bajeti kupita . Hapa na sisi tumekosa msimamo ushabiki wa vyama .Sasa nauliza kwa mfano hatuna sukari, huduma mbaya sana hospital ruhwa iko pale pale usawa mbele ya sheria is shake . Fear has prevailed .
Je wapi kuna duka maalumu la sisi wana CCM tukanunue sukari huko na kuwaacha wakinunua bei mbaya au kukosa kabisa sukari ? Wapi zilipo hosp zetu pekee wana CCM kwenye unafuu na gharama na madawa yapo na kuwaacha UKAWA wanakufa ?

Msaada hapo
 
Back
Top Bottom