Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,521
- 96,268
Watu kama hao hawaonagi shida za wanao mzungukakazi ya kuwakqndamiza watanzania amemaliza, asubirie vilio mtaani sasa
Watu kama hao hawaonagi shida za wanao mzungukakazi ya kuwakqndamiza watanzania amemaliza, asubirie vilio mtaani sasa
Na wamejipongeza kweli na vigeregere kibao kama ile ya rasimu ya katiba ya ccmbajeti imepitishwa kama ilivyo kuja....
Lizaboni naona hata familia yake wanajuta kuwa na kiumbe kama huyoMkuu..
Huyu Liza..ni ****** na ninahuakika haujui mlango wa jengo linaloitwa chuo..
Alijaribu kutupotosha na CV ya Msomi Advocate Lissu Tundu..kua hajawahi kuingia mahakamanii
Huyo ndiye walewale wabugia mirungiUlitaka wamfanyeje labda ili wasimshindwe?
Huo mkakati wa MaCcm wangeuzima kwa kuacha ujinga wao ili waingie bungeni.Ni mkakiliti unepangwa ili wapinzani watakapo simamia msimamo wao wa kuto ingia bajeti hewa itapita kilaini bila kuhojiwa mapungufu.
Na wajinga wanaunga mkono bila kuona athari zake
Juma Nature kuna song aliliitaga Mwaka wa shetani unaukumbuka?Aiseee huu Mwaka!!
Busara itumike vipi kwa mfano? Dr. Tulia ajiudhuru? Au asiongoze bunge wabunge wa upinzani wanapokuwapo bungeni? ama labda Dr. Tulia awatamkie kwamba ataruhusu kila wanachotaka? au atamke hadharani kuwaomba msamaha? Au pengine afanyeje? Na kama ni kutumia busara ya kutatua suala hili, kwani ukawa wao hawawezi kutumia busara? Au kwa nini wasiamue kumpuuza Dr. Tulia ili waendelee na shughuri za kawaida za bunge?Mateso au furaha ya hii bajeti ni Yetu sote kuanzia ccm mpaka ukawa na wasio na vyama busara na hekima ikitumika ndio nchi yetu inaweza kusonga mbele ila kwa sasa naona Badoo sanaaa
Nakumbukaga Sana tuu!!Juma Nature kuna song aliliitaga Mwaka wa shetani unaukumbuka?
Sio kila mtu ni mfuasi wa hivi vyama venu vya siasa.Wewe ndio wale wa ndiooooo!!!! Njaa kichwani!! Hakuna Fikra kama mfalme......pale jumba jeupe
Sadist at his /her best.Kwa nini wenyeviti wasimamie Kama NS yupo na Hana udhuru? Mmechagua kuweka plaster mdomoni mtaisoma number