Danny Jully
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 4,416
- 3,867
Hivi humjui Elizaboni? Anaweza kukuambia Livingstone Lusinde ana first class ya Uchumi.Kijana,Dr. Tulia hajawahi kupata First Class. Tafiti vyema kabla ya kuongopa.
Mzee Tupatupa

Ya EpaWa Richmond uli na Mvua ya kutengeneza.
ukisema kuwafukuza unakosea mkuu, sikuwahi kusikia akisema wabunge wa upinzani akikaa yeye wasiingie ndani. ni wao wenyewe waliweka azimio (azimio la mbowe) kususia vikao atavyoongoza naibu spika.Baada ya kuongoza karibu vikao vyote vya kujadili na kupitisha bajeti,Naibu Spika,Dr. Tulia Ackson,amechoka kimwili na kiroho. Anajipanga kuwapisha,kuongoza Bunge,wenyeviti watatu wa Bunge wakiwemo Chenge na Zungu.
Taarifa za kiintelijensia hapa Dodoma zinabainisha kuwa Dr. Tulia amewaambia watu wa karibu yake kuwa 'amesaidia vya kutosha na sasa anahitaji kupumzika'. Dr. Tulia anatajwa kama aliyetumika wakati wote wa bajeti 'kuwafukuza' Wabunge wa Upinzani kwakuwa Wabunge hao hawako tayari kuongowa nao Bungeni.
CCM na Serikali yetu tulimtumia Dr. Tulia ipasavyo katika kupunguza au kuondoa changamoto za Wabunge wa vyama vya upinzani wakati wa mjadala na kupitishwa kwa bajeti. Ni kusutwa kwa nafsi? Ni kuchoka kweli? Sasa wanarudi Chenge na Zungu!
Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Dodoma)
She has done an excellent Job! Job Welldone Mhe TULIA....Zungu, Chenge will follow your foot steps!Baada ya kuongoza karibu vikao vyote vya kujadili na kupitisha bajeti,Naibu Spika,Dr. Tulia Ackson,amechoka kimwili na kiroho. Anajipanga kuwapisha,kuongoza Bunge,wenyeviti watatu wa Bunge wakiwemo Chenge na Zungu.
Taarifa za kiintelijensia hapa Dodoma zinabainisha kuwa Dr. Tulia amewaambia watu wa karibu yake kuwa 'amesaidia vya kutosha na sasa anahitaji kupumzika'. Dr. Tulia anatajwa kama aliyetumika wakati wote wa bajeti 'kuwafukuza' Wabunge wa Upinzani kwakuwa Wabunge hao hawako tayari kuongowa nao Bungeni.
CCM na Serikali yetu tulimtumia Dr. Tulia ipasavyo katika kupunguza au kuondoa changamoto za Wabunge wa vyama vya upinzani wakati wa mjadala na kupitishwa kwa bajeti. Ni kusutwa kwa nafsi? Ni kuchoka kweli? Sasa wanarudi Chenge na Zungu!
Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Dodoma)
Wee biti una matatizo ya akili.....First class ipi na wapi?Dada kichwa kweli. Kapata First Class ya Sheria Mlimani. Utalinganisha na kichwa kipi pale UKAWA?
Kwa nini wenyeviti wasimamie Kama NS yupo na Hana udhuru? Mmechagua kuwekq plaster mdomoni mtaisoma number

Wewe ndio wale wa ndiooooo!!!! Njaa kichwani!! Hakuna Fikra kama mfalme......pale jumba jeupeHii sumu ya fikra mnayolishwa na wabunge wa upinzani wanaotafuta umaarufu kwa nguvu ni mbaya sana.
Baada ya kuongoza karibu vikao vyote vya kujadili na kupitisha bajeti,Naibu Spika,Dr. Tulia Ackson,amechoka kimwili na kiroho. Anajipanga kuwapisha,kuongoza Bunge,wenyeviti watatu wa Bunge wakiwemo Chenge na Zungu.
Taarifa za kiintelijensia hapa Dodoma zinabainisha kuwa Dr. Tulia amewaambia watu wa karibu yake kuwa 'amesaidia vya kutosha na sasa anahitaji kupumzika'. Dr. Tulia anatajwa kama aliyetumika wakati wote wa bajeti 'kuwafukuza' Wabunge wa Upinzani kwakuwa Wabunge hao hawako tayari kuongowa nao Bungeni.
CCM na Serikali yetu tulimtumia Dr. Tulia ipasavyo katika kupunguza au kuondoa changamoto za Wabunge wa vyama vya upinzani wakati wa mjadala na kupitishwa kwa bajeti. Ni kusutwa kwa nafsi? Ni kuchoka kweli? Sasa wanarudi Chenge na Zungu!
Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Dodoma)
Kazi imekamilika. Hiyo Intelojensia yako imeshindwa kuliona hilo mapema
Ni mkakati unepangwa ili wapinzani watakapo simamia msimamo wao wa kuto ingia bajeti hewa itapita kilaini bila kuhojiwa mapungufu.
Na wajinga wanaunga mkono bila kuona athari zake
Na ndio lengo la kuwapo kwaoKwa hiyo wenyeviti huwa wanakalia kiti wakati NS hayupo..??? Unajielewa kweli..??
Haoni wala hasikii si unajua tena mapenzi mkuu.Hivi unajua huyu dada Tulia afanani kabisa na mambo anayoyafanya. Mimi ningekuwa mume wake ningempa talaka. Sijui mumewe anaonaje.
Mwambie huyo mtafuna mirungi wa lumumbaAliyewahi kupata First class ya sheria kwa upande wa wanawake waliopitia Udsm ni Dk Asha Rose Migiro tu.So fanya utafiti uje na taarifa kamili.