Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,521
- 96,268
Mkuu ogopa sana kilio cha wanyongeNi siajbu akaanza kuumwa ugonjwa wa kiherehere cha moyo kwa nafsi kumsuta.
Mkuu ogopa sana kilio cha wanyongeNi siajbu akaanza kuumwa ugonjwa wa kiherehere cha moyo kwa nafsi kumsuta.
Baada ya kuongoza karibu vikao vyote vya kujadili na kupitisha bajeti,Naibu Spika,Dr. Tulia Ackson,amechoka kimwili na kiroho. Anajipanga kuwapisha,kuongoza Bunge,wenyeviti watatu wa Bunge wakiwemo Chenge na Zungu.
Taarifa za kiintelijensia hapa Dodoma zinabainisha kuwa Dr. Tulia amewaambia watu wa karibu yake kuwa 'amesaidia vya kutosha na sasa anahitaji kupumzika'. Dr. Tulia anatajwa kama aliyetumika wakati wote wa bajeti 'kuwafukuza' Wabunge wa Upinzani kwakuwa Wabunge hao hawako tayari kuongowa nao Bungeni.
CCM na Serikali yetu tulimtumia Dr. Tulia ipasavyo katika kupunguza au kuondoa changamoto za Wabunge wa vyama vya upinzani wakati wa mjadala na kupitishwa kwa bajeti. Ni kusutwa kwa nafsi? Ni kuchoka kweli? Sasa wanarudi Chenge na Zungu!
Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Dodoma)
Wanyonge wako wapi?? Wapiga dili?Mkuu ogopa sana kilio cha wanyonge
Chako cha ukilaz.a na ziro zako hapo ulipo. Nani kakudanganya kuwa kuongoza kunahitaji ufaulu wa gpa za vyuo? Ingekuwa hivyo kina prof. Shivji eangakuwa kina nani nchi hii? Jiongeze wewe mkurupukaji na mropokaji usiyejitambua.Dada kichwa kweli. Kapata First Class ya Sheria Mlimani. Utalinganisha na kichwa kipi pale UKAWA?
Wa escrowWanyonge wako wapi?? Wapiga dili?
Sio mdada, ni sirikali hiyo kwa mlango mwingine.Katika hili nawaonea huruma wana UKAWA,,,
Siamin kama kweli vichwa vyoote vile vya upinzani vimemshindwa huyu dada....
Nawashangaa wanaojiita wanaCCM wanaoshangilia serikali ikifanya makosa isikosolewa. Utadhani hapa kuna nchi ya wanaCCM na nchi ya watanzania wengine. Hata masoko, maduka, hoteli, hospitali, shule na huduma nyingine tunapata pamoja, isipokuwa kwa wateule wachache ambao hawahusiki na kadhia ya jumla. Kwa hiyo tushangilie kwa step, maana hilo muonalo kama anguko kwa upinzani bungeni litakuwa anguko letu sote mitaani. Halitabagua. Sukari ikikosekana au kupanda bei, ukienda Lumumba na tisheti ya hapa kazi tu hupewi kilo mbili za sukari bure.Mateso au furaha ya hii bajeti ni Yetu sote kuanzia ccm mpaka ukawa na wasio na vyama busara na hekima ikitumika ndio nchi yetu inaweza kusonga mbele ila kwa sasa naona Badoo sanaaa
Mungu amesema mshahara wa dhambi ni mauti.Baada ya kuongoza karibu vikao vyote vya kujadili na kupitisha bajeti,Naibu Spika,Dr. Tulia Ackson,amechoka kimwili na kiroho. Anajipanga kuwapisha,kuongoza Bunge,wenyeviti watatu wa Bunge wakiwemo Chenge na Zungu.
Taarifa za kiintelijensia hapa Dodoma zinabainisha kuwa Dr. Tulia amewaambia watu wa karibu yake kuwa 'amesaidia vya kutosha na sasa anahitaji kupumzika'. Dr. Tulia anatajwa kama aliyetumika wakati wote wa bajeti 'kuwafukuza' Wabunge wa Upinzani kwakuwa Wabunge hao hawako tayari kuongowa nao Bungeni.
CCM na Serikali yetu tulimtumia Dr. Tulia ipasavyo katika kupunguza au kuondoa changamoto za Wabunge wa vyama vya upinzani wakati wa mjadala na kupitishwa kwa bajeti. Ni kusutwa kwa nafsi? Ni kuchoka kweli? Sasa wanarudi Chenge na Zungu!
Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Dodoma)
Sahihisho aliwekewe kitu chenye ncha kali asingethubutu kuachia wenyeviti.Katika hili nawaonea huruma wana UKAWA,,,
Siamin kama kweli vichwa vyoote vile vya upinzani vimemshindwa huyu dada....
Labda First Class ya nyongaDada kichwa kweli. Kapata First Class ya Sheria Mlimani. Utalinganisha na kichwa kipi pale UKAWA?
Wa Richmond uli na Mvua ya kutengeneza.Wa escrow
Kweli, wale wabunge wanaotokatoka nje inabidi wawe na busara sasa.Mateso au furaha ya hii bajeti ni Yetu sote kuanzia ccm mpaka ukawa na wasio na vyama busara na hekima ikitumika ndio nchi yetu inaweza kusonga mbele ila kwa sasa naona Badoo sanaaa
Mimi nilidhani alipata first class ya Harvard University au Cambridge kumbe Mlimani? Magamba wakati mwingine muonage aibu!Mlimani kitu gani?Dada kichwa kweli. Kapata First Class ya Sheria Mlimani. Utalinganisha na kichwa kipi pale UKAWA?
Nawashangaa wanaojiita wanaCCM wanaoshangilia serikali ikifanya makosa isikosolewa. Utadhani hapa kuna nchi ya wanaCCM na nchi ya watanzania wengine. Hata masoko, maduka, hoteli, hospitali, shule na huduma nyingine tunapata pamoja, isipokuwa kwa wateule wachache ambao hawahusiki na kadhia ya jumla. Kwa hiyo tushangilie kwa step, maana hilo muonalo kama anguko kwa upinzani bungeni litakuwa anguko letu sote mitaani. Halitabagua. Sukari ikikosekana au kupanda bei, ukienda Lumumba na tisheti ya hapa kazi tu hupewi kilo mbili za sukari bure.

Intelojensia -Intelejensia huko shuleni mnaendaga kusomea ujinga?Kazi imekamilika. Hiyo Intelojensia yako imeshindwa kuliona hilo mapema
Hii sumu ya fikra mnayolishwa na wabunge wa upinzani wanaotafuta umaarufu kwa nguvu ni mbaya sana.Anajulikana amewekwa pale sababu gani! Anaangamiza nchi na wananchi wake masikini kulinda tabaka tawala!Atatumiwa tu na kutupwa!! Wako wapi wenzako kama wewe??