Wenye waume JF..TAHADHARI.

Like like like

 

Kama ni hivyo kazi kubwa sana ipo
 
Hii industry ya ndoa imekuwa pasua kichwa.
Hapa nimeshaona business opportunity

Helmet za tindikali kwa wanaoibiana.
Hehehe! Kongosho umeona mbali.... Mie nipatie moja manake nimejitolea kumsaidia mrs ma2mbo kumwagia hao wezi wake...
 
Watathubu basi. . . Kutongozana na kuflirt wamwachie nani?
hehehehe Lizzy mie naanza hebu nambie hiyo signature iweje? FL is Married, married ,Married... no vacancy available or tatizo watu siku hizi hofu ya mungu imepotea Afrodenz wewe hebu sema hapo chini :biggrin:FL nimeolewa na nanihii sitaki kutongozwa :juggle:
 
I reiterate, it is just conjecture in response to your question.

Do you think there is negative energy floating around?

Nasisitiza "kama ni hivyo"

I find the whole thing funny to tell you the truth
 
Heeeh hili nalo jipya! Mumeo ni nani kwanza? Isije kuwa huyu anayenisumbua sumbua kila siku..
 
Ila siku hizi kuna muengezeko wa kiasi flani wa mada za aina hii...

Mada za aina zote zimeongezeka.... na za kudondokea zimeongezeka pia, so labda wanaleteana balance
 
Hahaha kwani si antics za mtandaoni hazitishi?

Ni kweli hazitishi kihivyo hususan ukizingatia jinsi wana JF walivyotapakaa kila kona ya dunia.

Kwa mfano, mimi niliyeko Ikungu nitishwe kumwagiwa tindikali na Gaijin aliyeko Osaka kisa mtu fidenge fidenge aliyeko Tirana...? Asilani abadani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…