Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,919
- 183,334
Baba alinikataza.Kwani kufanya mapenzi ni tabia mbaya, unatimiza hitaji la nature.
Baba alinikataza.Kwani kufanya mapenzi ni tabia mbaya, unatimiza hitaji la nature.
Tena na kunena nina unenea mpaka tunazama deeply inlove,wacha kabisa ha haaHivi Vale huwa unausalia mkate wa usiku?[emoji12]
Hilo sijui,wangu tuko barabara1 lolKuna ukweli eti wengi wa waume zenu huwa wanahi kuondoka kwa streess na kuwaacha wajane!
Hakuna cha aibu hapo,lile tendo likifanywa kwa uhuru na utamu ile ni habari nyingine,sahiyo habari ya ulokole haipoHaaa mi najua wanafanyana kwa aibu ili wasifanye machukizo
Ha haaNajaribu kuimagine his ways kwenye 6x6 zitakuwa na reference za quotations toka Chorintians mara Psalms hadi revelation
Haaa naimani walokole hawafanyani zile style ngumu ngumu na wao ni kifo cha mende tuHakuna cha aibu hapo,lile tendo likifanywa kwa uhuru na utamu ile ni habari nyingine,sahiyo habari ya ulokole haipo
Sijaelewa hapa....maana ndoa yako inachanfamito nyingu....ila hapa unashaauri watu waangukie huko kwenye changamotoJapo changamoto ni nyingi ukiangalia bado sisi ni vijana Mungu ni mwema tutazishinda.
Mkitaka ndoa yenye amani na upendo daima, wote muwe mnahofu ya Mungu.
wala sio kipato, changamoto kubwa tunazo kumbana nazo kutoka kwa ndugu zetu, wakija kwetu kututembelea wanashindwa kuendana na life style yetu.Changamoto gani mnapitia au kipato
Wote muwe na hofu ya Mungu, ndo mtayashinda majaribuNadhani mtuunganishe na wanaume iwe ameokoka au la lakini ana mke ambaye ameokoka, nadhani kuna mjadala mrefu utaibuka hapa hasa kwa sababu baadhi ya wanaume au wanawake walokole kuwa matatizo makubwa ndani ya ndoa. Nitakuja na nyongeza kuwa mlokole au mwamini ni nani. Kuwa mlokole sio kusali kwa Apostle David, au kwa Gwajima.
Semeni wazi huko mnakoishi ndani humo. Kuna wengine wanasoma na kupita tu hapa maana wanayopitia ni makubwa kwa wanaume/wanawake wa "kilokole"
si kweli tena wanaishi maisha marefu sababu hawana stress wala wasiwasi maana tunajua, Kuishi kwetu ni Kristo na kufa ni faidaKuna ukweli eti wengi wa waume zenu huwa wanahi kuondoka kwa streess na kuwaacha wajane!
wale wanatimiza wajibu wao, Wanajua wapo dunian kwa ajili ya kazi gani.Kuna wale wanaosimamaga na spika barabrani alfajiri.
Hahahahahahahahahaha
Haaa mi najua wanafanyana kwa aibu ili wasifanye machukizo
Ahsante MkuuWalokole sio jina sahihi
Jina sahihi ni. WAAMINI AU WAOKOVU yani amebatizwa kwa Roho Mtakatifu
Kama ni mwanamke nawe umeokoka basi ni msaada sana katika maombi ya kila usiku na kufunga maana WAOKOVU mission yao ni kutenda kazi ya Bwana watu waokoke na kupata uponyaji
tena tupo smart SNA, tunajua kuvaa na kupendeza tuna mavazi ya heshima ila sio old modelMkiamua kuwa kitu kimoja mkaacha tamaa ndoa zina furaha sana. Biashara ya ooohhh siridhiki hiki natafuta nje ndo mushikeli huanzia hapo! Sio lazima uwe mlokole hata wa kawaida wapo wazuri.
Ila mi mlokole changamoto kwangu ingekuwa ile Suruali pana kama pepe kale, mashati ya kung'aa na kuteleza, ikiwa ni vitenge ni vile vyakuteleza daaahhh.
Kuna wale wanaosimamaga na spika barabrani alfajiri.
Hahahahahahahahahaha
si kweliHaaa naimani walokole hawafanyani zile style ngumu ngumu na wao ni kifo cha mende tu