Wenye wanaume walokole tukutane hapa

Wenye wanaume walokole tukutane hapa

Yaani unasali kabla ya kuzini!!! Kweli we noma.
Hivi kumbe we husali? Ndio maana wanaume wanalalamika eti hakuna lubricant ya kutosha, sali sana[emoji12]
 
Nadhani mtuunganishe na wanaume iwe ameokoka au la lakini ana mke ambaye ameokoka, nadhani kuna mjadala mrefu utaibuka hapa hasa kwa sababu baadhi ya wanaume au wanawake walokole kuwa matatizo makubwa ndani ya ndoa. Nitakuja na nyongeza kuwa mlokole au mwamini ni nani. Kuwa mlokole sio kusali kwa Apostle David, au kwa Gwajima.
Semeni wazi huko mnakoishi ndani humo. Kuna wengine wanasoma na kupita tu hapa maana wanayopitia ni makubwa kwa wanaume/wanawake wa "kilokole"
 
Ndio maana inatakiwa wote muwe wacha Mungu, haijalishi mlokole, mroma, mshia, msuni, msabato nk.
Ikiwa mmoja tu ndio mcha Mungu lazima shida iwepo.
 
Mm nimeolewa na mtumishi wa Mungu na ni mume mwema baba bora anahofu ya Mungu hata akinikosea hua ananiomba msamaha nashukuru Mungu
 
Kuna wale wanaosimamaga na spika barabrani alfajiri.

Hahahahahahahahahaha
 
Aman iwe kwenu wapendwa,

Leo nataka nizungumze na wanawake wenzangu ambao wameolewa na wanaume washika dini (walokole) sjui kwa waislam wanaitwaje.

Binafsi namshukuru Mungu nimeolewa na mwanaume mshika dini tena mwenye hofu ya Mungu. Nimekua na maisha yenye furaha maana mimi na hubby wangu wote tunahofu ya Mungu.

Kwakweli tangia niingie kwenye ndoa sijawahi kujuta na tumekua waaminifu sana japo wanasema usimwamini mwanaume lakini huyu wa kwangu. Namshukuru Mungu si mpenda anasa tena muwazi kwa kila kitu. Pesa yake ya kwangu, changu ni chake.

Japo changamoto ni nyingi ukiangalia bado sisi ni vijana Mungu ni mwema tutazishinda.

Ushauri wangu kwa wanawake wenzangu ambao hamjaolewa tulieni. Acheni kuchagua sna mwanaume wa kuoa wewe weka sharti awe mcha Mungu. Mambo mengine atatafuta baadae sio mnakimbilia mwanaume mwenye pesa, sijui alie soma.

Mkitaka ndoa yenye amani na upendo daima, wote muwe mnahofu ya Mungu.

Ahsante
Naunga mkono hoja,
 
Changamoto gani mnapitia au kipato
 
Back
Top Bottom