Wenye wanaume walokole tukutane hapa

Wenye wanaume walokole tukutane hapa

Na mm nasaka wife wa kilokole sasa

Triple A
 
wala sio kipato, changamoto kubwa tunazo kumbana nazo kutoka kwa ndugu zetu, wakija kwetu kututembelea wanashindwa kuendana na life style yetu.

Nilipata mgeni Shemeji yangu ni anapenda music vibaya mno tukitoka kwenda kazini huku nyuma anafungulia mziki sauti kubwa mala singeli mala bongo fleva wanangu hawazijui hzo.

unarudi kazini mtoto anakuimbia nyimbo mama mamaa, mwanaume mashine. na nyimbo nyingi za ovyo ovyo yaan shida tupu.

ukimkataza Shemeji anakuona kama unamnyima kusikiliza wakati Nyimbo zipo nyingi za kusikiliza tofauti na miziki hiyo
Yap,nimekuelewaaa
 
Sipati picha asubuhi mkiamka kwa pamoja mnafanya maombi kwanza
 
Acha utani na mungu wewe mungu hadhiahakiwi
Korie, si unajua kuwa kuna TOFAUTI ya "aibu maana"kati ya mungu na Mungu? Nakukumbusha tu kuwa haya maneno mawili yanafanana kwenye MATAMSHI tu.
 
Amina mpendwa! Shukrani yako panda mlilie Mungu zikumbuke ndoa ambazo zimejaa machungu na majuto, ili nasi tushuhudie matendo makuu ya Mungu pamoja nawe
 
Hongera lakini uwe mvumilivu sana, wote walikole? Naomba yenu huwa marefu sana ombeni kidogo kabla ya ku future tunda mkileta yale maombezi yenu ya muda mreefu mzuka unaweza kupotea....kila la kheri ktk Safari yenu ya kindoa
 
Back
Top Bottom