Pablo Blanco
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 7,328
- 6,656
Naunga hoja mkonoMpenzi endelea hivyo hivyo kukataa kuwa na ndoa ya "kigroup". Ooh usimwamini mwanaume, sijui wanaume wote blah blah. Kila mtu apambane tu na mumewe na sio kujumlisha na waume wa wenzie. Maana tunapenda tu kujipa matumaini kuwa wanaume wote wapo sawa ili hata akiwa abuser, basi unavumilia tu kisa wote wapo hivyo hivyo eti teh. Mbarikiwe sanaaaaa
"A woman's heart should be so hidden in Christ, that a man should have to seek HIM first to find her".