Wenye visimbuzi (ving'amuzi) vya Startimes.. mnapata signals..

Wenye visimbuzi (ving'amuzi) vya Startimes.. mnapata signals..

Mkuu wakati mwingine Vigamzi hivi vinakuwa na matatizo kwenye port ya kutolea Video na Sauti, ila ujafafanua vizuri kama no Signal inakuwa generated kutoka kwenye kingamuzi chenyewe lakini menu inaonekana kwenye screen lakini unashindwa ku-access channels kama ndio hiyo basi tatizo linatokana na antenna haijakaa vizuri.

Lakini kama screen inaonekana in bluu raster na on screen display ya AV na No Signal basi hilo ni tatizo linalo tokan na Kingamuzi chenyewe, nenda StarTimes wakupatie kingine kipya.

Mkuu Bukyanagandi mwanzo nilidhani tatizo ni hilo.. ila baadae nikagundua ni tatizo kubwa maana karibia kila mdau wa king'amuzi cha startimes alikuwa na tatizo kama langu.. na simu yao nilipiga sana na mara zote ilikuwa inasema wapo busy niendelee kusubiri.. Wamenikosesha haki yangu ya kuangalia taarifa habari jana na leo asubuhi..
 
Last edited by a moderator:
mimi mwenzenu tangu tar 1 mwezi wa tatu hakifanyi kazi,nimebadilisha antena mbalimbali hakuna kitu,nimefunga zuku,tatizo na wenyewe local chanels hawana zaidi ya tbc na chanel 10,nafikiria kuijaribu digtek,sijui mnanishauri vipi wanajf
Nakushauri kama una chumba kimoja ongeza cha pili maana kitajaa 'mavi' ng'amuzi ya masisiem waliyokurupuka kutuletea maana wamezoea ufisadi kila mahali...pole mkuu na nauli zinapanda soon!!!
 
mimi mwenzenu tangu tar 1 mwezi wa tatu hakifanyi kazi,nimebadilisha antena mbalimbali hakuna kitu,nimefunga zuku,tatizo na wenyewe local chanels hawana zaidi ya tbc na chanel 10,nafikiria kuijaribu digtek,sijui mnanishauri vipi wanajf

Mkuu nunua dishi la free to air (Tshs. 140,000 hakuna malipo kwa mwezi) unapata chaneli zote za ndani na za nje kibao isipokuwa za michezo ambazo ni za kulipia. Vinginevyo jiunge na Easy TV hawa wana jumla ya channels 33 zikiwemo local channels zote na za nje kadhaa ikiwemo Dubai sport ambako unaangalia hata mechi za Uingereza na michezo mingine duniani na malipo yao kwa mwezi ni Tshs. 9,000 (elfu tisa tu).
 
Mi nilishatupia huko kwao bora dstv ni balaa kitu quality picture!
 
Jamani, sijui niseme nishazoea shida hizi au ntakosea kusema hivyo. Kwa sababu hata ukilipia leo, bado utaambia no signal, not subscribed, yani ni shida tupu, eti ninaoneshwa channel ya TBC ya nini sasa, bora niangalie TV zingine kama startv, ITV superbrand no.1 tz, channel ten,na eatv ila siyo tbc, kiufupi siipendi ikawatangazie wana ccm ila siyo mimi, kudadadeki! Sasa unaponunua king'amzi cha startimes afu startimes haohao wanakwambia ununue na anterna ya nje lile la kuchomeka juu ya nyumba maana ya digital inatoka wapi! eti ninaambiwa hako ka antenna kadogo hakawezi kumudu kupata mawimbi kwa sehemu niliyopo, kama mimi nipo mjini ninashindwa kupata mawimbi na wale waliopo msata, mvomelo, tambuka leli, au wa mikoani tarime, majita, nyanhwale na kwingineko watayapata hayo mawimbi!? kama hamjajiandaa kutuletea digital rudisheni analogia afu mjipanga upya. nchi hii inakera sana !!!!!!!!!
 
Mkuu Bukyanagandi mwanzo nilidhani tatizo ni hilo.. ila baadae nikagundua ni tatizo kubwa maana karibia kila mdau wa king'amuzi cha startimes alikuwa na tatizo kama langu.. na simu yao nilipiga sana na mara zote ilikuwa inasema wapo busy niendelee kusubiri.. Wamenikosesha haki yangu ya kuangalia taarifa habari jana na leo asubuhi..

Mkuu labda sija jieleza vizuri maanake na kiswahili changu ndio hivyo TENA, mkuu ni hivi:

Number one:
Uki-switch on TV - screen yake inapaswa kuonyesha a black screen kwenye empty channels au channels ambazo ujalipia na katatokea ka rectangle on screen display/dialogue katikati ya screen kenye rangi ya pink kenye mahandishi yasemayo No signal au No access/Access denied - ukiona hivyo utajua kingamzi chako hakina matatizo, tatizo liko kwenye antenna orientation. Ukitaka kuwa na uhakika kwamba TV aina matatizo basi playback DVD/CVD au kanda za Video Recorder.

Number two: Kama TV screen inabaki kuonyesha rangi ya bluu allover the screen with a NO Signal and AV diplay, basi tatizo liko kwenye King'amuzi Chenyewe au nyaya za kutoka kwenye King'amuzi na kuingia kwenye TV zitakuwa zimekatika ndani kwa ndani - But this is mostly unlikely nyaya zote tatu kukatika, kama moja wapo imekatika mfano ya rangi ya manjano hutaona picha lakini sauti utasikia, nyaya za rangi nyeupe na nyekundu zinahusiana na sauti R & L kama sauti inayo tumwa ni hiko kwenye stereo format. Ukigundua hilo kirudishe Kingamuzi StarTimes wakupe kingine kipya not used!

Ukiona vipi, jikakamue uchukue DISH. Cheers na mang'amung'amu ya StarTimes lakini nina imani nao kwamba kadiri siku zinavyo kwenda watajirekebisha, StarTimes ni gari kubwa mkuu.
 
Wadau mnatumia StarTimes kama mie.. Mnaona huko au imebuma kote..? Maana kwangu imekataa inaandika no signal.. Sasa sielewi kama ni kwangu tu au kote..

Mwenye namba ya simu ya Waziri Mbarawa au bosi wa TCRA Prof. Nkoma naomba anipe niwatwangie sasa hivi..!

Hakika mimi ni mmoja wao na hata jana majira ya saa mbili hivi usiku niliwapigia kwa namba yao 0764700800. Majibu yao ati wanadai kuwa wamebadilisha mtambo wa kurushia matangazo na sasa wanatumia mpya wa Makongo hivyo niizungushe Antena yangu kuelekea Makongo. Hainiingii akilini; hivi kweli digitali hii ina tofauti gani na Analojia tuliyokuwa tunatumia awali? Jamani hawa watu waache usanii, siamini wala sikubaliani nao kwamba dijitali lazima uitafute iliko mitambo ya kurushia, viinginevyo watanzania tumeliwa. Nawaomba wadau wote tupige kelele kwa nguvu zote hawa viongozi wetu waache ubabe ba majibu ya jeuri. Naomba maoni yenu wadau na asante kwa kulianzisha hili - By O. Munisi wa Mbezi Luis
 
wadau mnatumia startimes kama mie.. Mnaona huko au imebuma kote..? Maana kwangu imekataa inaandika no signal.. Sasa sielewi kama ni kwangu tu au kote..

Mwenye namba ya simu ya waziri mbarawa au bosi wa tcra prof. Nkoma naomba anipe niwatwangie sasa hivi..!

hjata mimi kwangu sioni matangazo na nikifungua star tv au tbc1 au itv kingamuzi kinasema
"no signal".

Yaani kweli inafika mahali mtu unakata tamaa kuanzia juzi hali ni tetet na hata siku zingine hali imekuwa inajirudia rudia hupati signal

tcra waingilie kati hali ya vingamuzi hivi vya wachina
 
Mkuu labda sija jieleza vizuri maanake na kiswahili changu ndio hivyo TENA, mkuu ni hivi:

Number one:
Uki-switch on TV - screen yake inapaswa kuonyesha a black screen kwenye empty channels au channels ambazo ujalipia na katatokea ka rectangle on screen display/dialogue katikati ya screen kenye rangi ya pink kenye mahandishi yasemayo No signal au No access/Access denied - ukiona hivyo utajua kingamzi chako hakina matatizo, tatizo liko kwenye antenna orientation. Ukitaka kuwa na uhakika kwamba TV aina matatizo basi playback DVD/CVD au kanda za Video Recorder.

Number two: Kama TV screen inabaki kuonyesha rangi ya bluu allover the screen with a NO Signal and AV diplay, basi tatizo liko kwenye King'amuzi Chenyewe au nyaya za kutoka kwenye King'amuzi na kuingia kwenye TV zitakuwa zimekatika ndani kwa ndani - But this is mostly unlikely nyaya zote tatu kukatika, kama moja wapo imekatika mfano ya rangi ya manjano hutaona picha lakini sauti utasikia, nyaya za rangi nyeupe na nyekundu zinahusiana na sauti R & L kama sauti inayo tumwa ni hiko kwenye stereo format. Ukigundua hilo kirudishe Kingamuzi StarTimes wakupe kingine kipya not used!

Ukiona vipi, jikakamue uchukue DISH. Cheers na mang'amung'amu ya StarTimes lakini nina imani nao kwamba kadiri siku zinavyo kwenda watajirekebisha, StarTimes ni gari kubwa mkuu.

Ha ha ha Bukyanagandi.. naona unapiga debe la nguvu.. Wanaolalamika kukosa matangazo ni karibia Dar nzima.. ina maana na wao ving'amuzi vyao vina matatizo..? au wamechomeka nyaya vibaya..??
 
Last edited by a moderator:
me mwenyewe ilikuwa inasumbua lakini Leo imetulia.
 
startimes sina hamu nao nililipia kifurushi cha mwezi matokeo yake napata chanel za free tu, nimejaribu kuwapigia huduma kwa wateja, blabla nyingi ambazo hazina msaada kwangu.!!
 
Hahahahaa watanganyika tumeliwa!hii ni digital kweli au ni mwendelezo wa muvi zisizoisha?baada ya kusoma maoni ya watu mbalimbali hapa nimejaribu kuelekezea antena yangu Makongo na signal imerudi kuwa vizuri

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Wadau mnatumia StarTimes kama mie.. Mnaona huko au imebuma kote..? Maana kwangu imekataa inaandika no signal.. Sasa sielewi kama ni kwangu tu au kote..

Mwenye namba ya simu ya Waziri Mbarawa au bosi wa TCRA Prof. Nkoma naomba anipe niwatwangie sasa hivi..!
Mkuu usiseme; hivi visimbuzi vya star times ni bom kweli kweli. Kila saa ni kunasa tu hata hakuna raha kuangalia tv
 
Hii startimes ni janga la kitaifa.ni juzi tuu nimenunua hicho kidude chao kwa tsh 45,000/=nikapewa risiti.kufika nyumbani nasoma kale kakaratasi wameandika ni mkataba wenye terms na kondition nyingi zinazowafavour wao.ikiwa na maana kuwa unalazimika kila mwezi kulipa Tshs 6000 la sivyo hauoni chochote hata zile mamlaka ya mawasiliano walisema ni bure.sasa nimechanganyikiwa natafakari cha kufanya ila nimeplan kukivunjavunja na kwenda kununua dish
 
Wadau mnatumia StarTimes kama mie.. Mnaona huko au imebuma kote..? Maana kwangu imekataa inaandika no signal.. Sasa sielewi kama ni kwangu tu au kote..

Mwenye namba ya simu ya Waziri Mbarawa au bosi wa TCRA Prof. Nkoma naomba anipe niwatwangie sasa hivi..!
POLE SANA Sosoliso,
WEE ACHA TU! JANA NIMEFIKA HOME KABLA YA SAA2 USIKU NIKITAKA KUANGALIA TAARIFA YA HABARI YA LOCAL CHANNEL ZA BONGO. WASHA TV NA KING'AMUZI CHAKE WAPI NO SIGNAL. NIKAJARIBU AUTOMATIC SEARCH SIGNAL STRENGTH 40, SIGNAL QUALITY 62. LAKINI WAPI NO SIGNAL IKAWA INAKOHOA TUU. NIKAPIGA HOTLINE 0764700800 KUJUA KULIKONI IKAWA HAIPATIKANI AU IKO BUSY. NILIPATA HASIRA NIKATAMANI NIPATE SIMU YA DG WA TCRA NIKAIKOSA. NIKALALA BILA KUPATA HABARI ZA YALIYOJIRI NCHINI NA DUNIANI KWA UJUMLA. LEO TAREHE 5/4/ NIKAWASHA TENA MUDA WA SAA3 ASUBUHI TATIZO LIKAWA HILO HILO. NIKAPIGA SIMU HIYO HAPO JUU BAHATI NZURI WAKAPOKEA. NDIPO WALIPONIELEZA WAMEFUNGUA MTAMBO WA MAKONGO HVIYO SIGNAL ZINAIINGILIANA. KWA KUWA NAISHI TEGETA NYAISHOZI NIKASHAURIWA KUELEKEZA ANTENNA YANGU MAKONGO NA SI KISARAWE TENA. JAMBO AMBALO NIMELIFANYA NA KUANZA KUPATA SIGNAL ZAO JAPO INAKOHOA KIDOGO. HADI NIMEONDOKA MASKANI SAA5 SIGNAL ILIKUWEPO ILA KWA SASA SIJUI LABDA NITAKAPORUDI.
Hawa Startimes wana Customer Care zero isiyojali wateja. wangekuwa wanatujali wangetueleza wanabadilisha mtambo na tutapata matatizo haya. Pia wana namba ya simu moja ambayo haifanyi kazi 24 hrs. Yaani wanatuchosha hadi tunakoma kumiliki visimbuzi vyao.
 
Hiyo ni haki yatu ya msingi imewekwa mfukoni kwa mkoloni mweusi hivi kuhusu habari ya bunge kutokuonyeshwa mmeisahau au kweli wabongo hazitutoshi mZEE mengi aliongea mzee wa watu akaonekana kuwa kadata kumbe aliliona hilo mapema ila hii nchi yangu TANZANIA inakoelekea nikubaya MUNGU TUEPUSHE maana nchi ilipo nipabaya sana
 
Ha ha ha Bukyanagandi.. naona unapiga debe la nguvu.. Wanaolalamika kukosa matangazo ni karibia Dar nzima.. ina maana na wao ving'amuzi vyao vina matatizo..? au wamechomeka nyaya vibaya..??

Mkuu ukifatilia posts zangu za hapo nyuma ndio utaona nilivyo kuwa nawajia juu StarTimes na TCRA bila simile, niliwahi kuwasema vile vile kwamba ving'amzi vyao haviko DVB-T2 compliant watuletee vinavyo kubarika. Kuhusu matatizo ya kupata signal katika baadhi yaa maeneo walisema tatizo hilo watalipatia ufumbuzi kwa kufungua Transmitter au sijui tuite repeater hapo Makongo juu na kuweke gap filler kwenye sehemu nyingine ili kumaliza tatizo hilo kikamilifu, tukumbuke kwamba mawimbi ya digitali yako highly directional hayana uvumilivu kama yale ya analogia - ndio maaana ukichezea kidogo Antenna signal inapotea ghafla kama pepo:smile-big:.

Kwa kuwa binafsi nina background ya maswala haya ndio maana wanayo sema siwatilii shaka tena - na tukiwa wakweli hakuna kampuni yoyote ya kizalendo inaweza kushindana na StarTimes iwe kimihundo mbinu au kifedha, hawana tofauti kubwa na CCTV, huduma zao zimeanza kusambaa si Africa tu bali Merikani ya Kusini, Ulaya, mashariki ya kati na mbali kwa hiyo kampuni hii sio ya kubeza beza - wako mbioni kutuletea gismos zinazo patikana kwenye nchi zilizo endelea tu na uwezo huo wanao sana - sasa mkuu nani anataka tena kurudi kwenye ERA ya STONE AGE? Nawashaurini tuwavumilie kidogo mambo yatajipa eventually.
 
Tunashangaa tangu jana baadhi ya watumiaji wa ving'amuzi vya star time hatupati matangazo kabisa kulikoni..
Tena tumelipia..! Kuna tatizo gani?
 
Back
Top Bottom