Emmanuel_Adam14
JF-Expert Member
- Dec 25, 2015
- 669
- 745
- Thread starter
- #61
Thanks mkuu!!Angalia menu simple ya bei nafuu kisha angalia idadi ya wageni, kwa bajeti hiyo unaweza fanya sherehe ya watu 100 na ikapendeza sana
Thanks mkuu!!Angalia menu simple ya bei nafuu kisha angalia idadi ya wageni, kwa bajeti hiyo unaweza fanya sherehe ya watu 100 na ikapendeza sana
We jamaa nakuhitajiMkuu inategemea.
Wewe umepanga iweje?
Mimi ni moja ya wahusika wa Kumbi zetu zilizopo hapa Dar. Tuna Mwika social hall upo Sinza makaburini, Golden Memory upo Sinza Mori na Best choice upo Tabata.
Kumbi hizo zimejengwa kulingana na idadi ya watu, kuna ya watu 150, 350, 400, 550 mpaka 1000.
Nieleze bajeti yako nikusaidiee kuipangilia.
Kikubwa ni idadi ya watu.
Kumbi zetu tunatoa huduma zote ambazo zinahitajika ndani ya ukumbi.
karibu
Heaven sent naomba nikuona PM nna mengi yakupanga na ww inaonekana ni mzoefuinategemea tu na aina ya harusi anayotaka. Ila kama ni sherehe simple tu, inatosha tu kabisa. Daby amechanganua vizuri tu
Ya kuhusu harusi au? Mwenzangu me harusini najuaga tu kucheza mziki lolHeaven sent naomba nikuona PM nna mengi yakupanga na ww inaonekana ni mzoefu
Namba 4 na 5 nimecheka San daaahinatosha kabisa hiyo, sijui umepanga kuwa na wageni wangapi?
1. Swala la usafiri, unaweza kuongea na ndugu zako au marafiki zako wenye magari wakawapeleka kanisani na kuwarudisha, labda ukaweka mafuta tu badala ya kukodi magari.
2. Muwe na wasimamizi wenu tu, mambo ya vitoto vya mbele sijui wadada na wakaka wa kuwasindikiza achana navyo, tena
ikiwezekana tafuta wasimamizi watakao kuwa tayari kujigharamia mavazi.
3. Tafuta hotel yenye reasonable price za vyakula na vinywaji, na wawe na dj wao, kuwa mtaenda hapo hupata dinner ya idadi ya watu kadhaa, trust me hawata ku charge gharama za venue coz unawapa tender kubwa ya vyakula na drinks tena watakupa na discount. Na hapo utakuwa ume save gharama za ukumbi, mapambo, dj etc
4. Na menu iwe simple tu, anayetaka kushiba kwenye harusi za watu na AKOME in Gwajima's voice.
5. Usiweke pombe, only maji, juice na soda....wakitaka waje wamelewa.
6. Kama una ujasiri zaidi, unaweza kugharamia chakula na vinywaji vya ndugu zako tu, marafiki na wapambe wengine unawaalika lakini unawaambia watakula na kunywa in their ON COST. unawaambia bei za vyakula na vinywaji vya hiyo sehemu mapema tu
Ndio au ulijua naomba nini ile,… ts serious banaYa kuhusu harusi au? Mwenzangu me harusini najuaga tu kucheza mziki lol
Haha hapana bana, it's ok.Ndio au ulijua naomba nini ile,… ts serious bana
MTAFUTE LARRY KING MTANGAZAJI MSTAAFU WA CNN.Wana JF habari!!
Nimekaa nikawaza kuhusu harusi bila kuchangiwa hata mia labda mawazo tyuu !!
Kiwango nilichopanga ni kuwa nacho ni million 6 je itaosha kumaliza mchato mzima!!
Wenye uzoefu na kamati za harusi hapa vipi mtakaa kikao!? Au niongeze!!
Ushirikiano ninao hitaji ni nikulete kadi ya mwaliko tyuu hivyo vingine nimeshamaliza umaskini nitakuwa nimekusave saana!!Usiache kuwashirikisha ndugu jamaa na marafiki..unaweza kusema unagharamia kila kitu mwenyewe mwisho wa siku ukumbini unajikuta wewe na familia yako tu..watu watasema ameona sisi ni masikini hatuwezi kuchangia ndo maana hakutuomba mchango, basi na hiyo sherehe ufanye mwenyewe... harusi ni suala la kijamii hivyo hata kama una uwezo ushirikishaji ni muhimu sana...over and out
Na wake tisa tofauti au!!MTAFUTE LARRY KING MTANGAZAJI MSTAAFU WA CNN.
Aliwahi kuoa mara tisa.
Usiogope waweza badalisha life ya mtu huwezi jua!!Haha hapana bana, it's ok.
Wake wanane!Na wake tisa tofauti au!!
tehe tehe tehe ukichukua michango ya watu, huwa wanataka kulipiza mpaka wahakikishe ela waliyotoa imeenda kihalaliNamba 4 na 5 nimecheka San daaah
Duuuuh huyu jamaa shida saaana!!Wake wanane!
Mmoja alimuacha akamuoa tena.
Ndoa tisa wake wanane.
That why natoka kimwenyewe mwenyewe !!tehe tehe tehe ukichukua michango ya watu, huwa wanataka kulipiza mpaka wahakikishe ela waliyotoa imeenda kihalali