Unataka iwe 4m au 4 kwa maana gani..!! Sijakushauri usitishe kuoa...nimekushauri UPANUE bajeti yako, kama vyanzo vyako vya MAPATO vinaruhusu...Mpango wangu bro siwezi badilika tena nataka iwe 4!!
Km ww uliweza funga hiyo ya laki 4 iweje mm niongeze bajeti hapa nikubana bajeti nifanye mambo mengine maisha yaendelee!!Unataka iwe 4m au 4 kwa maana gani..!! Sijakushauri usitishe kuoa...nimekushauri UPANUE bajeti yako, kama vyanzo vyako vya MAPATO vinaruhusu...
Mimi nilifunga NDOA kwa 400,000/= (laki nne tu) na bado wageni wangu waalikwa walikula, kunywa na KUSAZA...!!
Ndoa ga bomani si ile ya kila mtu ana dini yake!!?Kafungie ndoa bomani alfu laki 2 fanya sherehe ya kifamilia, hela inaayobaki kafanyie biashara mkuu
Ni mtazamo tu
Mkuu hata laki moja inatosha,ni wewe tu. Kama ni Muislam cha msingi ni mashahidi wako na Sheikh na kama ni Mkristo ni Mchungaji na mashahidi wako basi.Mengine yote ni ufahari wa kijinga tu. Kwani watu wakila na kusaza unapata faida gani.Ni misifa tu ya kipumbavu and wastage of resources.Wana JF habari!!
Nimekaa nikawaza kuhusu harusi bila kuchangiwa hata mia labda mawazo tyuu !!
Kiwango nilichopanga ni kuwa nacho ni million 6 je itaosha kumaliza mchato mzima!!
Wenye uzoefu na kamati za harusi hapa vipi mtakaa kikao!? Au niongeze!!
Ukipiga hesabu ya hiyo mill 6 unawapa watu wanakula unaweza ukachanganyikiwa ila shukrani kwa mawazo chanya broo!!Mkuu hata laki moja inatosha,ni wewe tu. Kama ni Muislam cha msingi ni mashahidi wako na Sheikh na kama ni Mkristo ni Mchungaji na mashahidi wako basi.Mengine yote ni ufahari wa kijinga tu. Kwani watu wakila na kusaza unapata faida gani.Ni misifa tu ya kipumbavu and wastage of resources.
Hata harus ya milion moja inafanyika inategemea na wewe mwenyewe unataka vitu vya namna ili ikamilike harus yakoWana JF habari!!
Nimekaa nikawaza kuhusu harusi bila kuchangiwa hata mia labda mawazo tyuu !!
Kiwango nilichopanga ni kuwa nacho ni million 6 je itaosha kumaliza mchato mzima!!
Wenye uzoefu na kamati za harusi hapa vipi mtakaa kikao!? Au niongeze!!
M6? Vip na mahali iko hapo? Kama haipo na watu ukaarika wachache itatosha
Nataka nifanye kitu cha simple na kizuri ambacho hakina gharama na mbwembwe ila shukrani mkuu!!
inatosha kabisa hiyo, sijui umepanga kuwa na wageni wangapi?Nipo moshi!!
So nice ila hapa kwenye on their cost unafikiri watakuja kweli!!inatosha kabisa hiyo, sijui umepanga kuwa na wageni wangapi?
1. Swala la usafiri, unaweza kuongea na ndugu zako au marafiki zako wenye magari wakawapeleka kanisani na kuwarudisha, labda ukaweka mafuta tu badala ya kukodi magari.
2. Muwe na wasimamizi wenu tu, mambo ya vitoto vya mbele sijui wadada na wakaka wa kuwasindikiza achana navyo, tena
ikiwezekana tafuta wasimamizi watakao kuwa tayari kujigharamia mavazi.
3. Tafuta hotel yenye reasonable price za vyakula na vinywaji, na wawe na dj wao, kuwa mtaenda hapo hupata dinner ya idadi ya watu kadhaa, trust me hawata ku charge gharama za venue coz unawapa tender kubwa ya vyakula na drinks tena watakupa na discount. Na hapo utakuwa ume save gharama za ukumbi, mapambo, dj etc
4. Na menu iwe simple tu, anayetaka kushiba kwenye harusi za watu na AKOME in Gwajima's voice.
5. Usiweke pombe, only maji, juice na soda....wakitaka waje wamelewa.
6. Kama una ujasiri zaidi, unaweza kugharamia chakula na vinywaji vya ndugu zako tu, marafiki na wapambe wengine unawaalika lakini unawaambia watakula na kunywa in their ON COST. unawaambia bei za vyakula na vinywaji vya hiyo sehemu mapema tu
Mil 15 hiyo ni kubwa tena mara mbili ya bajet yangu ila yako ukiipanglia vizuri unamaliza vizuri tena huwazi km mm!!Mimi harusi yangu september.
Bajeti mil 15 .
Ukumbi sijapata bado ila nataka ukumbi uwe mnazi mmoja na maeneo yale. Au tabata
jaribu kuangalia idadi yako ya wageni, na gharama za menu hotel utakayoipata, kwanini wasije? tena hapo ndipo utajua rafiki wa kweli ni yupi, kwa sababu siku hizi bila elfu 50 bado hujachangia harusi tena hapo ni kwa single, lakini wakijigharamia wanaweza wasile zaidi ya elfu 20So nice ila hapa kwenye on their cost unafikiri watakuja kweli!!
Naiona nyingi sana.Mil 15 hiyo ni kubwa tena mara mbili ya bajet yangu ila yako ukiipanglia vizuri unamaliza vizuri tena huwazi km mm!!
Kwa akilii b hii naweza fanya kitu cha tofauti na kizuri watu wengine wakaiga!!jaribu kuangalia idadi yako ya wageni, na gharama za menu hotel utakayoipata, kwanini wasije? tena hapo ndipo utajua rafiki wa kweli ni yupi, kwa sababu siku hizi bila elfu 50 bado hujachangia harusi tena hapo ni kwa single, lakini wakijigharamia wanaweza wasile zaidi ya elfu 20
Soma baadhi ya comments huku kuna watu wanaweza kukupa wazo zuri na ukafanya kitu massive!!Naiona nyingi sana.
Bibie angekubali tungefunga hata ya serikali