Wenye uzoefu na harusi msaada!!

Wenye uzoefu na harusi msaada!!

Kwani ukitoka kanisani au msikitini ukakusanya watu wachache wa karibu mkajumuika kwenye katafrija kafupi saa mbili jioni unaangalia taarifa ya habari na mke wako nyumbani una hasara gani? Watu watakusema na kukukejeli lakini ndio itakua imetoka unaendelea na maisha yako.
Ukiangalia vitu vingi watu wanafanya kwa mazoea au km flani !!
 
Si mbaya ukimshirikisha mwenza wako pia maana humo kwenye bajet anategemea mavazi yake ya harusi ni juu yako na gharama za saluni. Hivyo ili kupunguza gharama anza na yeye akupe list ya vitu vinavyohitajika hapo utaweza punguza mzigo mkubwa
Ndio maana nikatafuta mawazo mapya na ushauri!!
 
Si mbaya ukimshirikisha mwenza wako pia maana humo kwenye bajet anategemea mavazi yake ya harusi ni juu yako na gharama za saluni. Hivyo ili kupunguza gharama anza na yeye akupe list ya vitu vinavyohitajika hapo utaweza punguza mzigo mkubwa
Thanks mkuu!!
 
Mkuu inategemea.
Wewe umepanga iweje?
Mimi ni moja ya wahusika wa Kumbi zetu zilizopo hapa Dar. Tuna Mwika social hall upo Sinza makaburini, Golden Memory upo Sinza Mori na Best choice upo Tabata.

Kumbi hizo zimejengwa kulingana na idadi ya watu, kuna ya watu 150, 350, 400, 550 mpaka 1000.

Nieleze bajeti yako nikusaidiee kuipangilia.

Kikubwa ni idadi ya watu.

Kumbi zetu tunatoa huduma zote ambazo zinahitajika ndani ya ukumbi.
karibu
 
Kama nilivyosema mkuu nina wazo la kufanya harusi ya simple na kiwango chake ni isizidi million 6!!
 
Sio roho mbaya nimeona kadi za watu wengi wengio wao akikuchangia anatoa kwa masimango mpaka unahisi hii ni laana nn!!
Ndo mana nimekwambia wape watu wamhimu tu mana ucpo wapa mana cku ukipata tatzo watakutenga kauli yao c harusi alifanya mwenyewe bs mwache na hili atamaliza mwenyewe
 
Hiyo BAJETI yako ya 6m ni BAJETI kamati ya VINYWAJI tu...

Au unafunga NDOA ya Kilokole...!?
Maana ukutambulisha hata DHEHEBU lako..!

Kama unao uwezo wa kupata fedha ya ziada....endelea KUUCHANGA.

JIPANGE...Maana hakuna sherehe nyingine kubwa kwa BINAADAMU zaidi ya Kufunga pingu za Maisha..
 
Mpango wangu bro siwezi badilika tena nataka iwe 4!!
 
Back
Top Bottom