DOKEZO Wenye Hospitali binafsi wakataa kuwahudumia wateja wa NHIF kutokana na vifurushi vipya

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
This mgomo itasaidia sana hospitali za umma kupata chance ya kushowcase improvements zote hasa wards service na general admissions

Kwanza hospitals kama aga khan waishakua haters wa NHIF

I predict this to be a huge blow kwa private hospitals and a boom for public and NHIF

Private we’re harvesting huge money for little services
Unafahamu kwa Dar es Salaam asilimia 79 ya vituo vya kutolea huduma za afya ni vya binafsi? Kama watoa huduma wa vituo wakiitikia wito wa huu mgomo kikamilifu madhara yake yatakuwa makubwa sana

Sent from my SM-N960U using JamiiForums mobile app
 
Hii nchi kila kitu kimeoza sekta ya afya,chakula,usafiri,mawasiliano,mafuta sijui tutaweza nini,inasikitisha sana!
 
Labda ulienda zile polyclinic za aga khan ila aga khan yenyewe hawapokei nhif miaka mingi sana
Nakataa. Aghakhan hiyo hiyo ya ocean road wanapokea bima za nhif itakua ambazo hawapokei ni za vifurushi kama najali, wezesha. Lakini jua kua kwenye bima ya nhif kuna za VIP.
Angekuwepo mtu anayejua zaidi angesema. Ila nhif kuna wateja wao ambao wana bima kubwa na watu hao ni watumishi serikalini baadhi ya maeneo.
 
Eee Mungu tusaidie sisi watoto wako. Hao wanasiasa wana Bima Executive ambazo wanatibiwa popote.
 
Boss,
Hiyo barua wamekubaliana na Tarehe 27 barua ilitoka wakatoa tamko la pamoja ..
Ila baada ya Serikali kuwakalia kooni CSSC na BAKWATA wametema Ndoano tumebaki APHTA peke yetu..
Ila mwanzo tulikubaliana wote..
Soma hiyo barua..
Na weww hujiulizi kwanini hawakutoa Tamko Tarehe 27 na 28 watoe leo..

Na kama unakumbuka hata chama cha madaktari MAT nao waliwahi kupinga hicho kitita kwa barua na kemeo ila unashangaa kwanini leo nao wamesema wanakubaliana halafu nyuma walipimga kwa barua?
Wewe haikupi Red flag hiyo?
Siasa ni Mchezo mchafu snaa
Boss soma nauelewe, tamko wamelitoa hii jioni na ni APHTA tu sio hao wengine. Kikao kimefanyika saa nane mchana, hiyo barua waliipinga. CSSC, BAKWATA na MAT wote hawana shida wamekubali kitita husika na barua mpya wameitoa hii jioni. Tufuatilie habari vizuri.
 
Barua hii ya jana juzi uliiona???
IMG_1933.jpeg

Vipi kuhusu Maoni Ya Chama cha madaktari MAT mwaka jana 19 December 2023..
downloadfile-18.jpg
 
Ni Janja Janja ya Hospitali binafsi. Hospitali nyingi zinatajirika kupitia NHIF. Serikali iwe Bold kusimamia maamuzi mambo ya ulimboka yatajirudia wanataka kujinufaisha kupitia uhai wa watu.
 
Siwahelewi kabisa NHIF bima za wanangu wametumiatoka wakiwa wachanga picha ila mwezi sasa wanazifungia eti nilete picha mpya na nilipie 20000 cash kwa kila kichwa nimechoka kweli kwanini wasikate kwa salary na sisi ni watumishi
 
Chief nilishakwambia hiyo barua waliipinga asubuhi, kikao kilikaa mchana leo na ni APHFTA tu. Hao wengine walishakubaliana, CSSC ndio walijitenga kabisa na raisi wa MAT alishatoa tamko. Bakwata pia hawana shida maana walishatoa tamko la kukubali. Ndio maana jioni ya leo kuna tamko kutoka kamati ya bunge lililo address kuhusu maamuzi ya APHTA ila hawakugusia wengine.
Barua hii ya jana juzi uliiona???
View attachment 2920551

Vipi kuhusu Maoni Ya Chama cha madaktari MAT mwaka jana 19 December 2023..
View attachment 2920553
 
Chief nilishakwambia hiyo barua waliipinga asubuhi, kikao kilikaa mchana leo na ni APHFTA tu. Hao wengine walishakubaliana, CSSC ndio walijitenga kabisa na raisi wa MAT alishatoa tamko. Bakwata pia hawana shida maana walishatoa tamko la kukubali. Ndio maana jioni ya leo kuna tamko kutoka kamati ya bunge lililo address kuhusu maamuzi ya APHTA ila hawakugusia wengine.
Hiyo barua hawakuipinga ila walitoa tamko lao..
Kuna tofauti kati ya kupinga na kutoa tamko..
Kupinga ni kukana kutohusika..

Ila kutoa tamko Ni kutojadili Kilichopo ila kusema wewe upande wako..
Uliwahi kusoma Logic By any chances..
False + False ni False
True +False huwa ni False
False + True huwa ni False..

So kwa mujibu wa Logic POV matt Wametoa kauli ya Uongo..
Na Vile vile Bakwata na CSSC kwa sababu mwanzonu walikataa ila kuna vitu vimeendelea wamekubali..

Point ya Kuweka sawa

Barua yao ilitoka tarehe 27/02/2024 ilikuwa ni kupinga endapo kama Kitita kikipitishwa kutumika,Bhasi walisema watashindwa kutoa huduma..(Huenda ilikuwa ni barua ya kuwaweka sawa ili wazuie kupitisha kitita hicho)...

Lakini kwa bahati mbaya Tarehe 28/02/2024 Siku moja baadae Serikali ilipitisha rasmi kitita hicho na ili kianze kutumika..

Sasa.ilibidi wao ndo wake tena ili kujadili maazimio yao ambayo yalikaa kabla ya kutolewa taarifa ya kitita..

Hapo ndo wenzao wakawa wamegeuka ambao ni CSSC (Ambao ni hospitali ya Dini kikristu) na Bakwata (Hospitali Dini Uislamu)...

Hata hivyo APHTA aLiendelea.na kikao na wakaja ma jibu kwa upande wa aphta peke yao..

Sijui kama umenielewa???
 
Hii itawatesa sana private hospitals

Mtanzania hasahau kirahisi unapomfanyia ubaya
Hakuna mtu anayesahau kiwepesi kama Mtanzania..Mtanzania ana akili za kuku..
Mtanzania Kufikia mwakani atakuwa ameshasahau ugumu wa maisha na Mgao wa umeme na sukari pia..
Tanzania Wananchi wake ni wanasahahu kuliko wanachi wowote na hio ndo chance serkali huitumia
 
Kwa mema huwa anasahau haraka, ila kWa mabaya utakuja kuniambia

Unafahamu kwamba watanzania wanachukia matajiri? Na wenye hospital binafsi ji matajiri?

Unafahamu kwamba wamatumbi tuna ubaguzi? Na kitendo cha hospitals za wenzetu waasia kujiunga kupinga nhif inaweza kuonekana ni hujuma?

Si unafahamu hao wenzetu waasia hata kwenu bishara ya dawa huonekana wanaihujumu na kuna some supportive evidence?

Na unakumbuka kwamba anayeumia hapa ni masikini na sio NHIF au hospitali za taifa?

Mwisho kabisa… enzi za magu mngegoma?

Tusiongelee kodi, fraud za overdHarding na usanii wa overkill

Wallahi hii kitu itawasumbua sana
 
Back
Top Bottom