Medical assistant inasomewa vyuo vipi Tz?
kuna chuo ifakara, tanga na bugando
kuna chuo ifakara, tanga na bugando
tanganyikajeki,uswazi yoyote wa kiume anayevaa nguo nyeupe hospitalini ni dokta,na wa kike anaitwa nesi.ila kitaalamu,medical assistant ni kama nurse tu,japo sijui tofauti yao kubwa....nina swali juu ya swali,midwife wa kiume kwa uswazi anaitwaje?
Hakuna Chuo chochote kiwacho hapa duniani kinachozalisha wahitimu na kupewa stashahada ya "Medical Assistance"...! Labda huko kwenu "uswazi"...!kuna chuo ifakara, tanga na bugando
miaka mingapi?
kuna vyuo vya pivate?
Hakuna Chuo chochote kiwacho hapa duniani kinachozalisha wahitimu na kupewa stashahada ya "Medical Assistance"...! Labda huko kwenu "uswazi"...!
Je umewahi kuwaita kwa majina yao wakakulazimisha uwaite doc?wanaitwa maafisa tabibu!ingawa neno tabibu kwa kiingereza ni Physician!Physician ni jina analopewa daktari bingwa aliyesoma internal medicine!Jambo nililojifunza hii wizara ya afya wamerithi sana tamaduni za kichawikichawi labda kwa vile hao ndo walianzisha fani hii!kwani mwalimu mwenye cheti(astashahada),dip(stashahada),bach.deg(shahada)nk wana majina tofauti?Hawa jamaa wa afya is majina tu hata mavazi kwa wauguzi wanahangaika sana mara orange mara nyeupe mara vikofia hadi unashindwa kujua maana yake nini!kwa nini wasiweke alama za vyeo tu kama jeshi kwenye nguo nyeupe?wengine wanaitwa mafundi sanifu wa dawa!wakati jukumu la ufundi sanifu halifanyiki hospitali!utasikia fundi maabara,mionzi,n.k Ninyi watu wa afya acheni watu wawaite kutokana na huduma yenu kwa jamii!wakunga.

Je umewahi kuwaita kwa majina yao wakakulazimisha uwaite doc?wanaitwa maafisa tabibu!ingawa neno tabibu kwa kiingereza ni Physician!Physician ni jina analopewa daktari bingwa aliyesoma internal medicine!Jambo nililojifunza hii wizara ya afya wamerithi sana tamaduni za kichawikichawi labda kwa vile hao ndo walianzisha fani hii!kwani mwalimu mwenye cheti(astashahada),dip(stashahada),bach.deg(shahada)nk wana majina tofauti?Hawa jamaa wa afya is majina tu hata mavazi kwa wauguzi wanahangaika sana mara orange mara nyeupe mara vikofia hadi unashindwa kujua maana yake nini!kwa nini wasiweke alama za vyeo tu kama jeshi kwenye nguo nyeupe?wengine wanaitwa mafundi sanifu wa dawa!wakati jukumu la ufundi sanifu halifanyiki hospitali!utasikia fundi maabara,mionzi,n.k Ninyi watu wa afya acheni watu wawaite kutokana na huduma yenu kwa jamii!
Mtashindana lakini katika tiba kuna zaidi ya elimu ya cheti ambacho nakifahamu mimi'kipaji!'Ni sawa na tu aliyesoma muziki masters ila hana kipaji cha kuimba!wapo watu wana vipaji vya hali ya juu na wana elimu ya chini sana wanatibu wagonjwa ambao dr ameshindwa na kuwa refer kwenda hosipitali za rufaa,kwa mshangao hata ma dr wanaofanya nao wanawaheshimu!unadhani mtu akiitwa dr aanze kukanusha na kujieleza eti mimi nina dip.niite afisa tabibu is takuwa kituko zaidi bora unyamaze na kukubali!after all ukianza kukanusha uwe tayari kumjenga kisaikolojia mtu unayemtibu ili afuate maelekezo ya tiba!Achen mambo mengine ya kishabiki tu fanyeni kazi Watanzania!
tanganyikajeki,uswazi yoyote wa kiume anayevaa nguo nyeupe hospitalini ni dokta,na wa kike anaitwa nesi.ila kitaalamu,medical assistant ni kama nurse tu,japo sijui tofauti yao kubwa....nina swali juu ya swali,midwife wa kiume kwa uswazi anaitwaje?
coarse ya assistant medical officer ni miaka mitatu, so far in tz hakuna chuo cha private, vipo vya serekali
coarse ya assistant medical officer ni miaka mitatu, so far in tz hakuna chuo cha private, vipo vya serekali