wenye diploma ya MEDICAL tuwaitaje au nao ni MADOKTA??????

kupe

JF-Expert Member
Jul 26, 2012
1,035
326
Maana imekuwa kawaida kusikia nao wakiitwa madaktari hasa huku kwetu uswazi, naongelea hawa waliosemea hizi diploma za medical assistance....etc . Wanaitwa madokta nao wanaitikia na wanajitambulisha kuwa dokta...... JE NI SAWA?
 
anayestaili kuitwa daktari ni aliesoma doctor of medicine au bachellor of medicine au mwenye phd, hao wengine ni mbwembwe tu, hawastaili
 
tanganyikajeki,uswazi yoyote wa kiume anayevaa nguo nyeupe hospitalini ni dokta,na wa kike anaitwa nesi.ila kitaalamu,medical assistant ni kama nurse tu,japo sijui tofauti yao kubwa....nina swali juu ya swali,midwife wa kiume kwa uswazi anaitwaje?
 
Last edited by a moderator:
Hakuna Chuo chochote kiwacho hapa duniani kinachozalisha wahitimu na kupewa stashahada ya "Medical Assistance"...! Labda huko kwenu "uswazi"...!

Malabuku!!

Hehehehe! swali la kizushi kwako Bwana afya skulmet.... nurse midwife ni lazima awe mwanamke au kuna ma midhusbands?
 
Je umewahi kuwaita kwa majina yao wakakulazimisha uwaite doc?wanaitwa maafisa tabibu!ingawa neno tabibu kwa kiingereza ni Physician!Physician ni jina analopewa daktari bingwa aliyesoma internal medicine!Jambo nililojifunza hii wizara ya afya wamerithi sana tamaduni za kichawikichawi labda kwa vile hao ndo walianzisha fani hii!kwani mwalimu mwenye cheti(astashahada),dip(stashahada),bach.deg(shahada)nk wana majina tofauti?Hawa jamaa wa afya is majina tu hata mavazi kwa wauguzi wanahangaika sana mara orange mara nyeupe mara vikofia hadi unashindwa kujua maana yake nini!kwa nini wasiweke alama za vyeo tu kama jeshi kwenye nguo nyeupe?wengine wanaitwa mafundi sanifu wa dawa!wakati jukumu la ufundi sanifu halifanyiki hospitali!utasikia fundi maabara,mionzi,n.k Ninyi watu wa afya acheni watu wawaite kutokana na huduma yenu kwa jamii!
Mtashindana lakini katika tiba kuna zaidi ya elimu ya cheti ambacho nakifahamu mimi'kipaji!'Ni sawa na tu aliyesoma muziki masters ila hana kipaji cha kuimba!wapo watu wana vipaji vya hali ya juu na wana elimu ya chini sana wanatibu wagonjwa ambao dr ameshindwa na kuwa refer kwenda hosipitali za rufaa,kwa mshangao hata ma dr wanaofanya nao wanawaheshimu!unadhani mtu akiitwa dr aanze kukanusha na kujieleza eti mimi nina dip.niite afisa tabibu si takuwa kituko zaidi bora unyamaze na kukubali!after all ukianza kukanusha uwe tayari kumjenga kisaikolojia mtu unayemtibu ili afuate maelekezo ya tiba!Achen mambo mengine ya kishabiki tu fanyeni kazi Watanzania!
 
Je umewahi kuwaita kwa majina yao wakakulazimisha uwaite doc?wanaitwa maafisa tabibu!ingawa neno tabibu kwa kiingereza ni Physician!Physician ni jina analopewa daktari bingwa aliyesoma internal medicine!Jambo nililojifunza hii wizara ya afya wamerithi sana tamaduni za kichawikichawi labda kwa vile hao ndo walianzisha fani hii!kwani mwalimu mwenye cheti(astashahada),dip(stashahada),bach.deg(shahada)nk wana majina tofauti?Hawa jamaa wa afya is majina tu hata mavazi kwa wauguzi wanahangaika sana mara orange mara nyeupe mara vikofia hadi unashindwa kujua maana yake nini!kwa nini wasiweke alama za vyeo tu kama jeshi kwenye nguo nyeupe?wengine wanaitwa mafundi sanifu wa dawa!wakati jukumu la ufundi sanifu halifanyiki hospitali!utasikia fundi maabara,mionzi,n.k Ninyi watu wa afya acheni watu wawaite kutokana na huduma yenu kwa jamii!
Mtashindana lakini katika tiba kuna zaidi ya elimu ya cheti ambacho nakifahamu mimi'kipaji!'Ni sawa na tu aliyesoma muziki masters ila hana kipaji cha kuimba!wapo watu wana vipaji vya hali ya juu na wana elimu ya chini sana wanatibu wagonjwa ambao dr ameshindwa na kuwa refer kwenda hosipitali za rufaa,kwa mshangao hata ma dr wanaofanya nao wanawaheshimu!unadhani mtu akiitwa dr aanze kukanusha na kujieleza eti mimi nina dip.niite afisa tabibu is takuwa kituko zaidi bora unyamaze na kukubali!after all ukianza kukanusha uwe tayari kumjenga kisaikolojia mtu unayemtibu ili afuate maelekezo ya tiba!Achen mambo mengine ya kishabiki tu fanyeni kazi Watanzania!
 
Safi sana mkuu. Hili jibu linafaa sana. Hongera.
 
tanganyikajeki,uswazi yoyote wa kiume anayevaa nguo nyeupe hospitalini ni dokta,na wa kike anaitwa nesi.ila kitaalamu,medical assistant ni kama nurse tu,japo sijui tofauti yao kubwa....nina swali juu ya swali,midwife wa kiume kwa uswazi anaitwaje?

Medical assistant hafanani na Nurse kwa sababu kuna ma nurse ambao ni graduate .
 
Last edited by a moderator:
kazi ya doctor ni diagnose and treate, nao wanafanya hivyo sasa kwanini wasipewe heshima iyo.

Kwanini aliesoma, certificate, diploma, degree ya nurse, wote ni nurse..kwa nini isewe the same kwao
 
Sikilizeni nyie, acheni kudharau elimu za watu.hawa wote kwa ujumla wao wanaitwa madaktari, kuwa daktari sio lazima uwe na degree. hivi nyie mnafikiri Diploma ni ndogo.Mbona walimu wote wanajina moja, awe anacertificate ni mwalimu, Diploma ni Mwalimu, Degree moja ni mwalimu, Degree mbili bado ataitwa mwalimu ilimradi kasomea ualimu, hivyo hivyo na madaktari.
 
coarse ya assistant medical officer ni miaka mitatu, so far in tz hakuna chuo cha private, vipo vya serekali

Vipo bwana Chuo kikongwe kabisa cha Sengerema, St Bhakita cha Jimbo Katoliki Sumbawanga na sasa hivi vimeanza vile vya kimadilimadili vya kutoa wahitimu feki kama cha St Agrrey cha Mbeya na vingine lundo, kutokana na uhitaji mkubwa uliopo.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom