Sifi Leo
Platinum Member
- Mar 30, 2012
- 5,937
- 10,815
Kwanza tangu lini kwa uislamuni wakaaga maiti?
Pili lini mwanamke wa kiislamu akazungumza kwenye msiba wowote?
Hapo nipo utaamini yakuwa KATOLIKI sio dhehebu uchwara limejaa wered mnoooo!
Yaani alichokitamka faza Kitima ilikuwa ni kumpa salamu yakuwa hawamtambui,
Kwanza kusema atatambuliwa kwa utaratibu mwingine UPI UO mbona hatukuuona? Badala yake tulimwona anaitwa kwenda kuaga maiti na kutoa Mkono wa pole? Msisaau utambulisho wa kiitafaki anae Anza ni mkuu wa nchi, unaposema atatambulishwa kwa upekee mbona hutukuona?
Mimi ulipotamka hivyo nilijua labda atatambulishwa na kadinali Rugamwbwa baada ya wewe KUMALIZIA kuwatambulisha viongozi na watawa sikuona hivyo Badala yake ajenda ya utambulisho iliisha ukaingia salamu za pole na kuaga mwili.ahahahaha wa kwanza ulimpa nafasi either aongee au asepe nae akasepa chapu.
Kwa ufupi Liko tatzo kati yenu na yeye na namsharini kaeni mwongeze!