Nifah
Platinum Member
- Feb 12, 2014
- 34,417
- 82,371
Mwenzangu tufungwe tu, kisa cha kujibana na kiu ya nafsi? Watupishe apa mxiuu, nasikia lile danga lilikuwa la batuli kajala akamkwapua wakalala wote hotel, nyie huyu kajala mmh
Samahani, baba ake kuwa balozi haimaanishi basi ndio alikuwa millionare kama unavyompamba,ivi unawajua watoto wa mabalozi vizuri? Achana na mabalozi wa miaka 87, nazungumzia mabalozi as ambassador, kwanza sijawahi kuona mtoto wa balozi akawa bongo movie, wema ndio wa kwanza, mtoto wa balozi anategemea kununuliwa gari na wanaume? Anaishi kwa kutegemea wanaume? Ebu usitake kuchafua title za watu wenye heshima zao bwana
Huyo wema anakaa sinza, kalelewa na kukulia apo sinza mori, kwao hawana maisha ya kutisha kihivyo ukawadanganye hao washamba, alibahatika tu kusoma shule nzuri, wema ni mswahili na ndio maana anaendana na waswahili wenzie ,kama angekuwa sio mswahili asingeambatana na waswali, upo apo? NDege wafananao ndio walukao pamoja, wema hawezi kukaa na akina nancy kwa sababu wema ni mbea, mnafiki na anapenda majungu na anawaza wanaume tu na sio maendeleo na ndio maana anaambatana na watu wenye akili kama zake, kwa hyo usiwadanganye watu eti wema wa kishuaaa mmxiuuuu, wakishua labda kwa hao bongo movie wenzao

Nganda noma tena ukichanganya n stress z domo lazma gari liwake moto
Hivi naye huwa anatumia hyo ngada kumbe ! Bad life style limemharibia mno.
Hahahahahaa warumi yupi? Huyuhuyu au mwingine ambae hawezi kukaa na kitu rohoni? Hizo siri za wema atazifichia wapi?
Ila tungepata ubuyu motomoto balaaa!
of course Wema is right, adui yako ni adui yangu pia, hata George W Bush aliuambia ulimwengu baada ya kulipuliwa world trade centre nanukuu" you are either with us or with them, theres no in between", huwezi ukawa rafiki yangu na rafiki wa adui yangu pia, huo ni unafiki unaitwa.. kwahio miss Sepetu ni kweli marafiki wake wengi ni wanafiki tu.. kingine family background ni tatizo, Wema kakulia mauzunguni kwa diplomat dad, wapi na wapi anakua na marafiki wa uswazi akina aunt na huyo kajala? hao ni watoto wa uswazi aachane nao aige akina Kylin na kina Nancy.. matawi kwa matawi na waswazi kwa waswazi.. mbona haiitaji rocket science hio!!pole!
Ndo na mimi nashangaa!! Kweli tungefaidi maubuyu ya ndani ndani, tena yakiwa bado moto moto.
nifah mdodose binamu ana umbea fulani hivi wa moto moto ila sijui anaogopa kuumwaga hapa hadharani, ni wa fumanizi la K, nimewafuma mahali wananong'onezeana na BADILI TABIA
Samahani, baba ake kuwa balozi haimaanishi basi ndio alikuwa millionare kama unavyompamba,ivi unawajua watoto wa mabalozi vizuri? Achana na mabalozi wa miaka 87, nazungumzia mabalozi as ambassador, kwanza sijawahi kuona mtoto wa balozi akawa bongo movie, wema ndio wa kwanza, mtoto wa balozi anategemea kununuliwa gari na wanaume? Anaishi kwa kutegemea wanaume? Ebu usitake kuchafua title za watu wenye heshima zao bwana
Huyo wema anakaa sinza, kalelewa na kukulia apo sinza mori, kwao hawana maisha ya kutisha kihivyo ukawadanganye hao washamba, alibahatika tu kusoma shule nzuri, wema ni mswahili na ndio maana anaendana na waswahili wenzie ,kama angekuwa sio mswahili asingeambatana na waswali, upo apo? NDege wafananao ndio walukao pamoja, wema hawezi kukaa na akina nancy kwa sababu wema ni mbea, mnafiki na anapenda majungu na anawaza wanaume tu na sio maendeleo na ndio maana anaambatana na watu wenye akili kama zake, kwa hyo usiwadanganye watu eti wema wa kishuaaa mmxiuuuu, wakishua labda kwa hao bongo movie wenzao
Alikua anatumia n rommy ndgu w domo akili yke hovyo
Hata mimi nawashangaa tu wanavyoambizana wenyewe.
Ila subiri naona binamu anakusanya data za kutosha kisha atalifungulia uzi.
Ila nasikia alifumwa na yule mkuu wa mkoa aliyelalamikiwa na wengi kwenye uteuzi wake eti!

Ni kweli hata ukikuona umehuzunika hukurukia rukia kukuchangamusha, akiona hauelekea hukunja mkia wake na ujilaza chini kusikilizia unanini leo, akiona unauziwa wakwanza kupambana na anayekuzuru, lakini njoo kwa paka akikosa maziwa tu anajiweka pembeni au anhamia baa kunakopatikana mabaki ya samaki.
nifah ishu hapa bidada anapenda kotakauka kwenye vyombo vya habari! Asa akianza ushost na wadada wanaoeleweka/ wenye kazi zao hatauza sura tena kwa mzee wa bamaga. Nae hapendi ki2 ka hicho kitokee.....Nimejikuta namuonea huruma kiukweli.Lakini tatizo la Wema anapenda urafiki na mastar/malaya wenzie ambao mwisho wa siku huishia kugombana.
Kwanini asiwe na rafiki wa kawaida tu asiyependa mambo ya mjini? Tena awe mdada mwenye shughuli zake za kimaendeleo hakika angembadilisha sana.
Mwenzangu tufungwe tu, kisa cha kujibana na kiu ya nafsi? Watupishe apa mxiuu, nasikia lile danga lilikuwa la batuli kajala akamkwapua wakalala wote hotel, nyie huyu kajala mmh
So sad kutumia vitu kwa kuiga sijui ndo kunako wapoteza wengi.
Diva Beyonce udaku nilioupata ni kuwa aliyemuandalia hiyo baby shower ni huyo huyo ka.j.a.l.a... Ili kumkill softly mama uzuri.Inauma shoga ako wakaribu kukuacha kwenye mataa bila taarifa tena hakumuita kwenye event muhimu ka baby shower. Ndo ajifunze aachane na marafiki wasio mpa ushauri wa Ku progress no one is perfect mashost wengi wanakupenda ukiwa nacho. Mbaya Anti anafanya ka kumukoa vile.