Wema sepetu:kanumba hajawahi kuniacha!

Tumwache Marehemu a rest in peace jamani kamaliza safari yake waliobaki kazi kwao.
 
Wema ni zigo la mavi hata ulibebeje lazima litakuumbua litanuka tuuuuuuu stupid slut
 
Inawezekan kwan tulikuwa tunajua kama kanumba anatoka na lulu..'kumbe de great alikuwa anapiga kisirisiri
 
Kusema ukweli..hapan hakuna msafi..kila mtu anakampango kake ka kando ..hakuna ubishi..tuwe wawazi ..ukweli ndio huo..sishangai ya Wema..ila wrong timing...anatafuta kuongeza page za magazeti tu..natamani sana awe mpango wangu wa kando..na mimi nimuonje kidongo maana inaonekana nimebakia mimi tu kwa staili hiia nitafute..nkuonje..nakutamani sana
 
Hawa ndo Mastaa wetu tunaosema (ikitokea wamekufa) kuwa wamefanya mengi sana katika Taifa letu hili,tunaacha shughuli zetu zinazotupatia mikate yetu ya kila siku tunakwenda kukesha sehemu miili yao itakapokuwa inaaagwa,tunafunga barabara na kudiriki hata kupambana na askari ilimradi tuweze angalau kugusa majeneza yao,loh MUNGU atusaidie katika hili jamani.
 
Hilo ndiyo tatizo la kuongea mambo ghafi yaliyo kichwani badala ya kuruhusu kichwa kimalize processing ili uongee hoja na mambo ya msingi.
 
siku zote wema ni magazet hvyo bbda ya tukio la mliman city akaona atafute jins ya kuandikwa
 
wema tena anyamaze kabisa aache ishu ipite asijihusishe hahahaha kwel anahitaj rehab
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom