Wema sepetu:kanumba hajawahi kuniacha! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wema sepetu:kanumba hajawahi kuniacha!

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by KIM KARDASH, Apr 11, 2012.

 1. K

  KIM KARDASH JF-Expert Member

  #1
  Apr 11, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 5,083
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  WEMA JMOSI ALIONGEA NA CLOUDS:

  SIKU chache baada ya kifo cha muigizaji mkubwa
  katika tasnia ya filamu Bongo, marehemu Steven Charles Kanumba, Miss
  Tanzania 2006/07, Wema Sepetu amefunguka kuwa hakuwahi kuachana na
  muigizaji huyo.
  Akizungumza kwa sauti iliyoambatana na kilio cha
  kwikwi katika mahojiano maalumu na kituo kimoja cha redio nchini, Wema
  alisema kuwa ingawa jamii ilikuwa ikifahamu kuwa ameachana
  naye, ukweli ni kwamba bado walikuwa wapenzi kwa siri.
  "Tulikuwa na
  mapenzi ya siri kati yetu na tulifanya hivyo kwa kuwa kila mtu alikuwa
  tayari ana mtu wake, ndiyo maana hatukuwa wazi," alisema Wema katika
  mahojiano hayo.
  Akizungumzia faida aliyoipata akiwa na Kanumba enzi za
  uhai wake, Wema alisema kuwa ustaa wake katika filamu unatokana na
  marehemu ambaye alimshauri aingie...
   
 2. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #2
  Apr 11, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,319
  Likes Received: 439
  Trophy Points: 180
  malaya.com
   
 3. The Hunter

  The Hunter JF-Expert Member

  #3
  Apr 11, 2012
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 1,049
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Yatasemwa mengi, yatahadithiwa mengi, tumsubiri na yule aliezimia mara tatu aje atupe story yake!
   
 4. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #4
  Apr 11, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  kicheche pori.
   
 5. K

  KIM KARDASH JF-Expert Member

  #5
  Apr 11, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 5,083
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  ha ha haaa...
   
 6. MADAM T

  MADAM T JF-Expert Member

  #6
  Apr 11, 2012
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 3,675
  Likes Received: 943
  Trophy Points: 280
  Okeeeeeeeey!
   
 7. sun wu

  sun wu JF-Expert Member

  #7
  Apr 11, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 2,025
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 0
  Sometimes mtu badala ya kujitetea ndio anajikaanga.., hapo amewakosea wafuatao:-
  • wapenzi aliokuwa nao, sababu amedhihirisha kucheat
  • Kanumba.., sababu amesema marehemu alikuwa ana-cheat
  • yeye mwenyewe sababu sasa hata aliyenae sasa atakujua kwamba huwa ni mtu wa ku-cheat
   
 8. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #8
  Apr 11, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  She needs rehab
   
 9. Jakubumba

  Jakubumba JF-Expert Member

  #9
  Apr 11, 2012
  Joined: Mar 5, 2011
  Messages: 1,627
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Can someone tell me who is wema sepetu? I heard this name recently but it seems like she is icon in my lovely country! It seems like she's psychologically sick!
   
 10. LINCOLINMTZA

  LINCOLINMTZA JF-Expert Member

  #10
  Apr 11, 2012
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 1,640
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Hii imekuwa globalpublisher nini?
   
 11. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #11
  Apr 11, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  she is so *****
   
 12. mpinga shetani

  mpinga shetani JF-Expert Member

  #12
  Apr 11, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 3,268
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Katika kuwania Urithi wa mali
   
 13. d

  daby mouser JF-Expert Member

  #13
  Apr 11, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 207
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  hahahahahhhahahha
   
 14. nyumba kubwa

  nyumba kubwa JF-Expert Member

  #14
  Apr 11, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 10,280
  Likes Received: 1,720
  Trophy Points: 280
 15. D

  DOOKY JF-Expert Member

  #15
  Apr 11, 2012
  Joined: Dec 12, 2011
  Messages: 371
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Positive! she gal problem
   
 16. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #16
  Apr 11, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,613
  Likes Received: 419,787
  Trophy Points: 280
  kumbe kanumba alikuwa mchafu namna hii........yaani kazi bila ya mahojiano ya kitandani haitoki!

  maandiko matakatifu yanatuasa ifuatavyo..............Philippians 3:19 "Whose end is destruction, whose God is their belly, whose glory is in their shame; who sets their mind on earthly things."
   
 17. nyumba kubwa

  nyumba kubwa JF-Expert Member

  #17
  Apr 11, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 10,280
  Likes Received: 1,720
  Trophy Points: 280
  Hawa sijuhi wanajihita maproducer sijuhi mapromoter wote ndo zao. Nilisikia skendo ya chuzi kurekodiwa anaomba rushwa ya ngono kwa mchumba wa sijuhi H Baba; eti anamwambia H Baba hana ela. Imagine unamhita binti kumfanyia interview ya kurekodi movie na unaanza kwa kumtaka. Ningekuwa na uwezo watu kama hawa wangefungiwa aisee. Ni rushwaaa. Afu anahojiwa na clouds Chuzi anatoa cheap explanation eti kwani kuna hajabu gani kumtaka huyo dada na kuwa yeye si wa kwanza kumtokea. Nilikuwa namwona huyu jamaa wa maana kumbe ni bure kabisa. Nasikia analamba wadada wote wanaotaka awaingize kwenye movie zake.

  Nimeshasikia similar story kwa producer mwingine mwenye fedha tena ana mke na watoto nae amewapanga sana hawa mastaa. \waome uzima tu sijuhi kama gonjwa likipita kwa mmoja watabaki.

  Afu H baba ana nuksi kweli maana hata uwoya alikuwa wake kabla hajawa movie star.


   
 18. Jestina

  Jestina JF-Expert Member

  #18
  Apr 11, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,807
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  mnh wema nae,kaa shuzi saa nyengine,kila ukijitahidi kufunika lenyewe linatoka tuu.....
   
 19. k

  kisukari JF-Expert Member

  #19
  Apr 11, 2012
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 3,761
  Likes Received: 1,051
  Trophy Points: 280
  sifikirii kama alikusudia hawajaachana kimapenzi.mimi mwenyewe nilisikiliza alivyohojiwa,ila gazeti la udaku,wame tafsiri vyengine.alivyokusudia yeye japo kuwa waliachana,ila wakikutana huwa wanasalimiana vizuri tu.hakuna kinyongo chochote kati yao.na huyo huyo kanumba,alijua talent yake,akampa ajira.alimsema ki wema tu
   
 20. sun wu

  sun wu JF-Expert Member

  #20
  Apr 11, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 2,025
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 0
  "Tulikuwa na
  mapenzi ya siri kati yetu na tulifanya hivyo kwa kuwa kila mtu alikuwa
  tayari ana mtu wake, ndiyo maana hatukuwa wazi," alisema Wema katika
  mahojiano hayo.


  Something is definitely wrong somewhere...,lakini sababu sikusikia binafsi no comment ngoja nikuamini wewe uliyesikia ila comment hapo juu kama alisema hivyo ni vigumu kujua ni mpenzi gani hayo ambayo ni ya siri
   
Loading...