Wema sepetu:kanumba hajawahi kuniacha!

mshahara wa dhambi ni mauti bali karama ya Mungu ni uzima wa milele.
 
Kosa yoooooote usikose akili,ufahamu na hekima,huyu wema ni punguani kabisa. Tenda WEMA upate DIAMOND.
 
duh, wema ni opportunist
anapenda sana kuuza magazeti ya udaku, sijui anapata %.

Baada ya kumsakama Diamond na show yake, sasa kaja kwa marehemu!!!!

Si alisema yeye huweka mahusiano yake hadharani sababu huwa anapenda haswaaaa.

She is a lost case.
 
daaah huyu ni kicheche ambae hafai kabisa,sijui mshauri wake nani tu,na watu wa media wananikera sana ndio wanaompa kichwa sana kuandika utimbo wake kila siku
 
“Tulikuwa na
mapenzi ya siri kati yetu na tulifanya hivyo kwa kuwa kila mtu alikuwa
tayari ana mtu wake, ndiyo maana hatukuwa wazi,” alisema Wema katika
mahojiano hayo.


Something is definitely wrong somewhere...,lakini sababu sikusikia binafsi no comment ngoja nikuamini wewe uliyesikia ila comment hapo juu kama alisema hivyo ni vigumu kujua ni mpenzi gani hayo ambayo ni ya siri

Verbatim za magazetini sometimes ni kulishana maneno ambayo interviewee hajayasema kabisa. Don't trust media 100%
 
Mimi nawashauri ndugu wa wema wamkamate wema afu wampeleke mirembe cz uyu mtoto ni stupid anaongeaga nonesense ishuz..yalomkuta lulu nae yatamkuta siku moja kwani nae ni kibiriti ngoma kama lulu mwenzie segereaaa nw ananyea debe kidogo akitoka uko nadhani atarud shule kusoma na umalaya utakua basi.yani huyu wema ananiudhi angekua anajua angekua anafungaga ilo domo lake eti ndo masuperstar wetu wa bongo hao.i hate u kicheche wema
 
Angekuacha vipi wakati hakuwahi kukuoa? Hawara jamani hana talaka na hata kama ingekuwapo nani angekupa wakati he was a dog as you once asserted tena wiki chache kabla ya mauti? Unapokuwa muongo jaribu kuwa na kumbukumbu.
 
lengo lake nini hasa? Watu wengine bwana...
wema na kanumba wote ni sawa kwahiyo hakuna wakulaumiwa na wangefunguka wengi sema tu wameamua kukaa kimya. Hakuna anayefurahiwa na tabia zao though mmoja wao ni marehemu. Uwasherati ni dhambi na itaendelea kuwa dhambi milele hata irembe vipi. Dhambi imekuwa ni fashion siku hizi watu wanagiriki kumwaga madhambi yao hadharani kwa raha kabisa ni sign za ule mwisho tuliokuwa tunausoma katika vitabu vya dini. Mwenye macho auone na mwenye masikio asikie.
 
When the character of a man is not clear to you, look at his friends
 
Back
Top Bottom