Wema sepetu inatosha !

tatizo hizi ndimi huwa zina slip,
rudi usome ulipoandika huwezi kumpa makavu live lol
mwanzoni lol
anyway no big deal
i was just teasing her lol

Ngoja basi nitumie kizungu...

I like her a lot (note; not love) mainly because of how she speaks of her husband.
 
Kingereza bwana nachenyewe kina mambo yake na unaweza usielewe vizuri kama hujawazoea watumiaji...Kuna rafiki yangu mmoja Mwingereza juzi kati aliquote hii kwenye wall page yake FB

‎"British people may seem to apologise a lot, but it doesn't quite mean the same thing here. In the UK, "I'm sorry" actually means either a) I didn't hear you; b) I didn't understand you; or c) I both heard and understood you, and I think you're an idiot" - from Tim Dowling's guide to Olympic Etiquette

napenda sana kujifunza lugha na culture za watu hivyo mimi hii quote nimei save kwenye desktop


Ngoja basi nitumie kizungu...

I like her a lot (note; not love) mainly because of how she speaks of her husband.
 
Back
Top Bottom