Wema sepetu inatosha !

Kwani mleta mada ana undugu na Wema?
Kama siyo, basi waache wanaume wamhemee shingoni, dau pete.
 
Mh kwa kweli hata mie nshayachoka ya Wema jaman, akha hana jipya tena, mwachieni maisha yake, huko global panatosha kumdiscuss huku tuendelee na yenye maana. Ya wema muachie Wema, anajijua mwenyewe na mambo yake.......
 
hulali?
njoo nikulishe pm lol
 
Leo assumptions zangu zimekuwa proved.

Watu humu mnatumia avatar kuvutia opposite sex...aka kuuza sura.

Kweli kabisa The Boss wewe ni mmoja wa watu maharufu humu JF sababu ya avatar

wote wanaompenda huyo
huishia na kunipenda na mimi pia lol
sasa wewe funguka tu
usione aibu lol
 
Leo assumptions zangu zimekuwa proved.

Watu humu mnatumia avatar kuvutia opposite sex...aka kuuza sura.

Kweli kabisa The Boss wewe ni mmoja wa watu maharufu humu JF sababu ya avatar

assumption zako zina tatizo
wewe unampenda Denzel lakini 'hunipendi mimi '
naweza sema wewe ni 'exceptional case' lol
au ni siri yako moyoni? lol

anyway jokes aside mbona kuna watu wanatumia avatar za
watu weengi wenye kupendwa na wadada
mfano Obama, Drake,Taye Diggs na wengineo but sio maarufu jf?

behind my avatar watu wanajua i am charming and i have a good sense of humor for real

halafu i dont take the avatar thing that serious...

i was teasing her

mimi simpendi Chavez but i like you a lot

go figure
 
Mh. Hivyo eeeh.

Yawezekana kwa kuwa unaonekana mpole ukilinganisha na Nyani Ngabu ambaye hana huruma akiamua kutupa za uso aangalii wewe ni she or he anaweza aka comment mpaka ukaamua ku log off.

Hapa nilipo nshaanza kutetemeka maana akiiona hii comment nimekwisha. Lol.

kuna kitu umeongea hapa
na i am not sure hata wewe kama unajua kuwa umeongea nini lol
 
Mh. Hivyo eeeh.

Yawezekana kwa kuwa unaonekana mpole ukilinganisha na Nyani Ngabu ambaye hana huruma akiamua kutupa za uso aangalii wewe ni she or he anaweza aka comment mpaka ukaamua ku log off.

Hapa nilipo nshaanza kutetemeka maana akiiona hii comment nimekwisha. Lol.

Wewe nakupenda bana na kamwe siwezi kukupa makavu live kama viwavi jeshi wengine.

Hivi unajua kuwa I am your number one fan? Napenda sana unavyompenda mumeo.
 
Bado siamini amini na niko makini sana kutojibu comments zako. I am not that strong...wakati mwingine negative comment inaweza kunifanya nikalale. Lol.

Hivi wewe inakuwaje kila ukitajwa unaibuka??? Umeweka nini kwenye computer yako inayokupa alarm kuwa umetajwa sasa?
Wewe nakupenda bana na kamwe siwezi kukupa makavu live kama viwavi jeshi wengine.

Hivi unajua kuwa I am your number one fan? Napenda sana unavyompenda mumeo.
 
Wewe nakupenda bana na kamwe siwezi kukupa makavu live kama viwavi jeshi wengine.

Hivi unajua kuwa I am your number one fan? Napenda sana unavyompenda mumeo.

unampenda sana kwa anavyompenda mumewe lol
how lucky her hubby is?
mpaka anapata fans na sio wezi?
 
Ni sawa na mtu akwambie The Boss I love the way you love me
Maana yake hakupendi ila anapenda jinsi unavyompenda.

Hivyo sentensi yako ya kwanza ni batili.

unampenda sana kwa anavyompenda mumewe lol
how lucky her hubby is?
mpaka anapata fans na sio wezi?
 
unampenda sana kwa anavyompenda mumewe lol
how lucky her hubby is?
mpaka anapata fans na sio wezi?

Boss... nimesema "Napenda sana unavyompenda mumeo"

Siyo nampenda yeye anavyompenda mumewe. Napenda jinsi anavyompenda mumewe.

Ni sawa tu na kusema napenda anavyovaa au napenda anavyotabasamu au napenda anavyotembea.
 
tatizo hizi ndimi huwa zina slip,
rudi usome ulipoandika huwezi kumpa makavu live lol
mwanzoni lol
anyway no big deal
i was just teasing her lol
 
Back
Top Bottom