Wema sepetu inatosha !

Hivi JF siku hizi ndo pamekuwa mahali pa kutemea uongo na umbea??

Nijuavyo mimi JF ni mahali pa kupashana habari na kuelimishana, sasa watu wakianza kuleta habari za uongo kama hizi.........mtalifanya jukwaa letu liaonekane kama vile ni sehemu ya upotoshaji tu!!
 
Hahaha! Bongo bana! Kwa hiyo scenes za kwenye movie 'coming soon' zimeshaanza ku-leak? Enhee, kuna ingine ya kukataliwa kupokea zawadi?
 
This world is full of freedom to ****, get ****ed and of course staying ****ed so wema anatumia uhuru wake aachwe.
 
nikiwa na mtoto kama huyu yaani namuwekea sumu ya panya ....
 
Khe!, movie inayoitwa maisha ya huyu Kim Kardashan wa Bongo(Wema), mmh, si itakuwa ndefu sana, hapa nafikiri alikuwa anaigiza kama yuko na Diamond basi, na ule msururu wa nyuma, before sijui atakuwa kaudisclose pia au?!
Jamani Wema na Mwinyi siyo wachumba pale walikuwa wanarecord movie inayohusu maisha ya wema.
 
Khe!, movie inayoihusu maisha ya huyu Kim Kardashan wa Bongo(Wema), mmh, si itakuwa ndefu sana, hapa nafikiri alikuwa anaigiza kama yuko na Diamond basi, na ule msururu wa nyuma, before sijui atakuwa kaudisclose pia au?!
Jamani Wema na Mwinyi siyo wachumba pale walikuwa wanarecord movie inayohusu maisha ya wema.
 
attachment.php


mie yangu macho na zama za michubuo na ndoa za kuvikana vibati...............waswahili husema ndgu wakigombana chukua jembe ukalime na wakipatana chukua kapu ukavune............
 
but amesema nikipande kitakachokuwa kenye muv yake mpya jamani,msimseme vibaya
 
Back
Top Bottom