Wema sepetu avishwa pete

Mpaka Awe na Mtoto kwanza. Haya ni Kujisafisha inawezekana Kampa Hela Jamaa..

Chezea Wema Wewe!
 
That's good...hata hivyo Diamond haendani kabisa na Wema......Wema na mwenzake Jokate ni ma - OPPORTUNISTS....wanasaka mahela
 
mbaya sana kulamba matapishi...aaaaaaaaaaaaaaagghy! mpaka nimetapika na mimi. hivi naweza hata kumpiga busu kweli? maana nahisi naweza tapika.
 
Human rights ziheshimiwe, kila mtu ana uhuru wa kuwa Maarufu kwa lile analoliona litampa umaarufu, hata ukipenda unaweza kuwa Msengge Maarufu hizo zote ni sifa tu.

This lady if she is not insane, basi hata magonjwa ya akili inawezekana hayapo ila watu huwa wanalogwa tu. lakini ni swala la muda tu ujana maji ya moto, is hard to believe kama wapo kwenye movie au ni maisha halisi hayo wanayoyafanya, maana hata Lady Jide naye ana mimba huu ni mwaka wa pili sasa!!
 
Haya mambo ya kufanya kwa publicity yanapogeuka unakosa pa kutokea....
 
Kigogo,

Mbona umeshamjadili ha ha ha ha.


this girl is a disgrace to her family...it is worthless for me personally to put efforts to discuss what she is doing....she is always after media attention na huo ni upumbafu na akili za watoto...samahani lakini ....
 
Du haisee.......huyu dada anapendwa sana na wanaume, nashindwa kumhukumu kwa sababu wanaume tukiwa nazo viburi vinakuwepo japo siyo wote.......si wa kulaumiwa kwani inawezekana Mume wake hayupo hapa Tanzania au Dar....Hakuna marefu yasiyo na ncha
 
Jamani sio kweli...hiyo ni movie ya Wema inaitwa supastar na ameigiza maisha yake halisi so Mwinyi amevaa uhusika wa diamond enzi zile alivyomvalisha Wema pete! It's just a movie hakuna uhalisia wowote!
 
mbona huyo basketballer nackia katimuliwa hiyo timu aliyokuwa anachezea reason kashuka kiwango, mwee ataweza gharama mwanadada mrembo miss no 2.
 
Mwinyi mjanja sana,nyota yake imekufa sasa anataka kutumia mgongo wa wema kupata umaarufu na kujenga jina daa usanii kazi kweli,mwinyi ana mke wa ndoa kabisa na pia ana uchumba mwingine na miss tanzania wa 2008,asiyejua maana aambiwi maana hapo ni promo only.
 
kigogo umenifurahisha saana, nakubaliana nawe kuwa hao wanaume wote waliokula mzigo hapo, wote ni majoka ya kibisa, ningekuwa mimi mtoto angekuwa amejazwa kitambo hicho kitumbo chake.
 
this girl is a disgrace to her family...it is worthless for me personally to put efforts to discuss what she is doing....she is always after media attention na huo ni upumbafu na akili za watoto...samahani lakini ....

hapo nilipo-pa-bold nadhani umekosea...hukuhitaji kutuomba samahani hasa sie watu wenye akili zetu timamu...this used "old lady" has been lookin for simple publicity regardless what happens or are the consequences to those surrounding/around her....

she's a good careless and selfish woman of her times in tanzania....AM WAITING FOR MORE TO UNFOLD IN HER EVERLASTING UNTOLD TRUE STORIES.
 
Unataka kuniambia nimeshamkosa tayari manake nilikuwa najaza mfuko nimtafute duhh huyu jamaa kanivurugia mipango yote.Sasa hivi nilivyo vikusanya ni vipeleke wapi ahhh kwani miss no 3 nipeni jina manake n0 2 yule jamaa aliyekuwa naye kanizidi mawe fanya mchezo basketball nini tena nba kudadadeki zake

mhhhhh
 
Back
Top Bottom