Honey Faith
JF-Expert Member
- Aug 21, 2013
- 15,782
- 11,841
Wii angalia yasikukute yaliyonikuta mimi jana....jasho lilintokaje sasa..
Yalikupata yapi my wi?Hebu niambie nijiepushe mapema
Wii angalia yasikukute yaliyonikuta mimi jana....jasho lilintokaje sasa..
Mmh humjui ur shem? We na miss neddy si ndugu?
Habari ndo hiyo mke mwee. Sijui ilikuaje akabadili siti...lol
Nisamehe bure! Nitakununulia chips na makange.
Tujifiche eeeh?!.
Seat ikikuchosha unahamia sehemu nyingine tu maana seat nyingi zipo wazi
Naongelea kukamatwa na Rogie
Mke mwenza kweli unanifanyia haya?Siamini kwa kweli
Mume wako mchepuko wa mwenzio.
Yalikupata yapi my wi?Hebu niambie nijiepushe mapema
Baki njia kuu mke mwenza kama mimi....
Usiogope sina NIA mbaya! Ila kama utaachika nakuahidi nitakuoa na kila mtu atahudhuria harusi yetu.