Rich Pol
JF-Expert Member
- Oct 11, 2013
- 7,880
- 5,725
Katika dunia hii kila mtu Ana moyo lakini kaa ukijua moyo wangu unaumiliki wewe my lovely wife, once again karibu nyumbani mke wangu, nakupenda sana, you're my everything, you mean the world to me, najua uliteleza, nimekusamehe mke wangu charty yote hiyo ni mitihani ya maisha hasa kwa Mtoto wa kike uliebarikiwa urembo wa kumshtua kila mwanaume alie chini ya Jua, najivunia kumiliki mwanamke mzuri kama wewe, nachukua fursa kuitangazia dunia na viumbe wote Kuwa, nakupenda sana I can't explain how much I love you. No one can separate us! I LOVE U SO.