Zimefika my wii wala usijali....ur wish is my command
Wala hata, hata muda wa kuchepuka ninao basi, mwenyewe natafuta muda nipumzike na siupati, ndiyo maana mtu mkiniambia nachepuka Hua nachukia maana siko hivyo.
Wala sijachukia! Haya niambie mume wako ni nani?
Hongera sana! Basi nilidhani uko singo nitume mshenga.
Hupigwa hupigwi bana! Wewe niambie tu, kwani unanipenda?
Hebu comes this way please tafadhari mume wangu usipaone hapa na mkeo charty
Hivi kumbe utafiti ndo anammiliki huyu mtoto?