Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 62,099
- 127,834
Uwiiiii my wi mbona umemuita tena?Haki ya nani leo kazi ipo
Na mimi nataka aje..
Uwiiiii my wi mbona umemuita tena?Haki ya nani leo kazi ipo
Wewe huniambii kitu maana najua move zako zote yani hadi sasa umefika kwa paroko wewe si mwenzangu kabisa
Hahahah...sitaki hata kukumbuka...muulize miss neddy kama aliona
Na mimi nataka aje..
Ha haaaa hujui nimemkana shetan na michepuko yote! Kwa paroko ndo sihangaiki tena hivo
Sasa hivi siwezi kumpata atakuwa busy na mambo yake.Please niambie tu my wi
Hahahah....kaangalie uzi wa mentor -fastjet
Haya bwana mke mwenza mie nakuombea heri kabisa hadi nataka nije nishuhudie ndoa yako na paroko
Usijali mke mwenza tuombe uzima tu...
Hahahah....kaangalie uzi wa mentor -fastjet
Usisahau kunipa kadi ya mwaliko
Nimeona wifi yangu ila pole sana ni mambo ya kawaida katika mahusiano
Wewe kiboko! Umemtoa parokiani??!. Sasa anakuchunga wewe badala ya kondoo wa bwana??!.
We lazima nikuweke kwenye kamati mke mwenza
Nimepoa my wii