Welcome back my lovely wife Charty

Welcome back my lovely wife Charty

Ukimuuliza atatoa nje! Wewe mpe taarifa tu Kuwa una dereva wako, hakufanyi kitu kwakuwa anakupenda.

Hebu ngoja nijaribu...baby Eiyer nimepata dereva atakua ananipeleka sokoni mpaka ntakapojua ku drive!
 
Last edited by a moderator:
Samahani Rogie lengo langu aniunganishe kwa wifi yake, sasa kuomba mbele ya kadamnasi aibu.
Salama lakini??!.

Sasa mbona unachelewa kunitumia hiyo hela?Naisubiria hiyo ili nianze mipango.Chelewa chelewa utakuta mwana si wako
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom