Welcome back my lovely wife Charty

Welcome back my lovely wife Charty

bado bado kidogo shem! nina kamwaka kazima aisee sijakamaliza kabisa!
next year july ndo ntakuwa huru na mizunguko ya kalamu shem!

mzima lakini wewe?

I wish you all the best.Mie mzima kabisa nipo zangu namalizia malizia kuvuna mahindi yangu
 
hahahaha angalia hata charty umenyang'anywa lol

Mapenzi mimi napenda yaende automatically, if she loves me atabaki na mimi, if she run away najua siyo mipango ya Mungu, wewe unaweza ku force kupendwa?
 
Mapenzi mimi napenda yaende automatically, if she loves me atabaki na mimi, if she run away najua siyo mipango ya Mungu, wewe unaweza ku force kupendwa?

siwezi
basi tulia wako yu njiani
 
Wala hata usimsingizie mtoto wa watu tatizo wewe haujatulia yani ukiona kichaka unabanwa.

Wala hata, hata muda wa kuchepuka ninao basi, mwenyewe natafuta muda nipumzike na siupati, ndiyo maana mtu mkiniambia nachepuka Hua nachukia maana siko hivyo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom