Honey Faith
JF-Expert Member
- Aug 21, 2013
- 15,782
- 11,841
I see yah
Kumbe upo mumie?Mambo?
I see yah
Mume wako mchepuko wa mwenzio.
Kumbe upo mumie?Mambo?
Npo ulishawah muona mtu aliyechanwa na viwembe???
Hahahaha asipaone kaka yangu hapa
Umenionea wapi kaka yako nimemmisi kweli
Sijamuona siku nyingi sana nina kama week hivi.Ila ngoja nimtafute najua anapopenda kukaa
Umenionea wapi kaka yako nimemmisi kweli
Mimi nimemuona mchana jioni hii sijamuona nahisi kuumwa kabisaaa....
Nimempigia mdogo wangu wapo wote kasema simu yake imeishiwa charge.
Ahaaaa....bas sawa wii
Just jocking swthrt missing u so much.
Pole pole utamwagiwa maji ya moto mke wangu mkali sana na anawivu.
Sasa unataka kunipa nani? miss neddy au Khantwe