sir mushi
Senior Member
- May 26, 2013
- 143
- 52
imenibidi nichague hichokichwa cha habari maana kila post unayosoma hata kama nyingine haina mahusihano na picha lkn mtu anakwsmbia weka picha, picha tafadhali, mara picha jamani,.. kiukweli wakati mwingine achekesha na wakati mwingine inaboa.. na chaajabu kunawengine watatupia kwenye posti hii" WEKA PICHA". haha