weka picha

sir mushi

Senior Member
May 26, 2013
143
52
imenibidi nichague hichokichwa cha habari maana kila post unayosoma hata kama nyingine haina mahusihano na picha lkn mtu anakwsmbia weka picha, picha tafadhali, mara picha jamani,.. kiukweli wakati mwingine achekesha na wakati mwingine inaboa.. na chaajabu kunawengine watatupia kwenye posti hii" WEKA PICHA". haha
 
zemeze5e.jpg
 
Kuna watu wanakuja humu kuvuluga utaratibu, yupo mwingine nae kamuiga @FIGGANIGA kuandika mwisho - mia, hii ndio mijitu inayoboa
 
next time wakiomba picha wawekee picha ya Biology zao.....
 
imenibidi nichague hichokichwa cha habari maana kila post unayosoma hata kama nyingine haina mahusihano na picha lkn mtu anakwsmbia weka picha, picha tafadhali, mara picha jamani,.. kiukweli wakati mwingine achekesha na wakati mwingine inaboa.. na chaajabu kunawengine watatupia kwenye posti hii" WEKA PICHA". haha

Weka picha na source ya habari yako
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom