Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,109
- 53,632
umesema unataka picha?
View attachment 125897
View attachment 125897
Mmoja tu ndo anapendeza na hiyo slogan sababu kuna muda inasherehesha! Wengine wanabooaaah!!
Kweli wataalam wa picha wamekuja Sasa ngoja tutoe comment ya kila picha
imenibidi nichague hichokichwa cha habari maana kila post unayosoma hata kama nyingine haina mahusihano na picha lkn mtu anakwsmbia weka picha, picha tafadhali, mara picha jamani,.. kiukweli wakati mwingine achekesha na wakati mwingine inaboa.. na chaajabu kunawengine watatupia kwenye posti hii" WEKA PICHA". haha
hahaha sa we ulisema hii ndio mijitu inayoboa..nikajua wa mrefer baby wangu..nimekuelewa sasa
Natamani sana nione sura ya huyo binti!! Hawa ndio zamani huko walikua wanasabibisha nchi kupinduliwa na nchi kuhongwa.Mkuu MM hiyo ya kwanza ya Obama na Sarkozy
duh! Nimeitumia kama Avatar yangu hapo juu.
Mkuu MM hiyo ya kwanza ya Obama na Sarkozy
duh! Nimeitumia kama Avatar yangu hapo juu.
issue za bulicheka hizi....imekula kwenu mwaka huu