Weka picha: unapokuwa usemi maarufu humu jamvini

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,454
Reaction score
872,070
Saa nyingine huwa nabaki kucheka tu ,unapost kitu ambacho hakihusiani na picha kabisa au hakina picha lakini inakuja reply ikikutaka uweke picha !!je hii mnafanya kusudi au ni kweli mmedhamiria ?
 
Mimi siamin unachosema. Weka picha kuthibitisha kama ni kweli.

Weka picha na source
 
picha unayoitaka hiyo hapo sema kingine tena

nuu.jpg

Back
Top Bottom