Sasa umeambiwa uwaangamize waamaleki...Waamaleki wako wapi?Hii verse chini napenda kusoma nikipata feelings za ukatili na unyama sababu inanitaka nisiache kitu niangamize watoto ,wanyama mpaka vichanga ni destroy completely kusiwepo hata chembe ya alama yao.View attachment 2657194
Kwani nimesema naangamiza watu ? kuna wakati mtu unapata feelings za ukatili ukiweka na hiyo aya unakuwa mzuka unapanda zaidi ya mvuta ganja akiwa anavuta.Sasa umeambiwa uwaangamize waamaleki...Waamaleki wako wapi?
ThanksMbona unaruka maswali aya ya pili haujajibu swali ?
Kwa ajili gani huo mstari upo si watu wapate mafunzo kama hauna umuhimu si usingewepo ?
Tukianza kuzungumzia Alshabab ni mada pana nitaharibu mantiki ya uzi .Uzi umetaka vifungu vya vitabu vya dini mimi nimeweka kifungu katika bible lakini nashangaa unanivamia na kunihoji kama nimetoa kifungu katika Kitabu cha wahuni huku ukiwaacha wengine, sasa wewe mleta mada unampangia mtu kifungu cha kupost ?
Anyway ngoja nifocous na maudhui ya uzi nipost kifungu kingine.View attachment 2657979
Na hiki kifungu napenda vilevile kukisoma.View attachment 2657980
Kitabu gani hiki nikawasomee wanywaji wenzanguView attachment 2657106
Hapa muandishi aliandika kwa busara na utulivu wa hali ya juu sana