Tarime one
JF-Expert Member
- Nov 12, 2013
- 2,246
- 1,742
- Thread starter
- #61
Hivi huko Calabash ndio panakuagaje?
Just ni place ya kulifresh mind, weekend panachangamka live band nk,.
Hivi huko Calabash ndio panakuagaje?
Hivi huko Calabash ndio panakuagaje?
panakuaga na watu, viti, vinywaji, chakula na muziki...
Watu wa viwanja unawatafuta JF...JF kuna loners tu ...kama si busy na simu basi computer...(ngoja waje)
Unakosea bwana....panakuwaga na viti, vinywaji, chakula, watu na wakurya :smile-big:
ha ha ha ha ahsante....Na wewe ungezaliwa uzaramoni ingekuwa hatari!!! Karibu hapa Ambrosia Mbezi
Me sio mzushi,bendi imemaliza kupiga nahama kiwanja,tatizo liko wapi?
Xipo kaunta mbili ipi ndogo au kubwa?
Hujui mie ni muke ya paw? Muulize Kongosho habari zangu. Hata ikulu nikienda siegeshi gari nje, napaki mlangoni
Mazima best? Hofu na mashaka ni kwako uliyembali na upeo wa macho yangu. Huku Tandahimba hatujambo, ila mosheni zetu zinafanana na za penguin wa Madagascar.
Ahahaha yaani nimecheka kama mazuri. Kuna movie inaitwa happy feet (ofcoz ni ya penguins ). Hebu itafute kwanza. Afu kuna movie mpya ya penguins of madagascar to be released soon, can i treat you to it? snowhite inabidi awepo kumoderate manake....
Nimekumisi mnooo
He he he he, how i wish unipe hiyo ofa. Kwa sasa huna haja ya kwenda tarangire kutizama wanyama wenye pua kubwa kubwa, karibu hapa Tandahimba.
Ningekuwa najua ku download ningeitafuta hiyo happy feet, labda ningepata njia mbadala ya kupambana na ubishi wa miguu. BTW zombie anakupa salam sana.