Waonane wapi ndugu???
Mwenye kibukta kaulizwa mziki gani hajajibu,
Tarime nae katangaza kahama kiwanja.
tarume mzushi namwangalia simoni au ndo nshakewa
Waonane wapi ndugu???
Mwenye kibukta kaulizwa mziki gani hajajibu,
Tarime nae katangaza kahama kiwanja.
Ahsante, nipo masubirio kuingio leba
tarume mzushi namwangalia simoni au ndo nshakewa
kitandani na kero juu kuna wazaramo hapa wanapiga taarabu shenzao kelele aahhh
Ni kawada weekend kutoka au kupumzika home,vp wana MMU unajirusha pande zipi,me nimeamua kumalizia weekend yangu pande za mwenge kalabash tunaserebuka hapa kwa kwenda mbele.
Me sio mzushi,bendi imemaliza kupiga nahama kiwanja,tatizo liko wapi?
Na wewe ungezaliwa uzaramoni ingekuwa hatari!!! Karibu hapa Ambrosia Mbezi
Miss sana Calabash hasa wikend hii.Nambie wimbo upi wa.zamani umebamba.
Kina ritungu pia?!!!!
Acha uzushi, bendi inamaliza saa saba
Utaupata... ngoma hailali hii na inanipa mzuka wa kuchatMh tunasubiri mrejesho.
Saa 7 imekua night club?
Watu wa viwanja unawatafuta JF...JF kuna loners tu ...kama si busy na simu basi computer...(ngoja waje)
Utaupata... ngoma hailali hii na inanipa mzuka wa kuchat
nimelala blanketi chapa mtu leo halipo
nimelala blanketi chapa mtu leo halipo