Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 78,903
- 172,770
Ndo tabu yetu ya kuishi uswahilini.
bora kuishi uhindini tu nisikilize kelele za boss akimtukana shabani
Ndo tabu yetu ya kuishi uswahilini.
Niko hapa counter kwenye corner huku mwisho. Hebu unisabahi basi. Ukiona mdada anavuta sigara ndo mie
OK mi nimevaa kibukta kifupi na kiblauz white nimekaa pembeni kulia ukiingia.
In the club dancing non stop music, ukiingia club na kumuona mdada anakunywa maji makubwa kilimanjaro mwanzo mwisho na anacheza mziki bandika bandu bila kupumzika, thats Kasie.
Akuuu... nipo madona hospital tabatana wewe upo calabash?
Akuuu... nipo madona hospital tabata
In the club dancing non stop music, ukiingia club na kumuona mdada anakunywa maji makubwa kilimanjaro mwanzo mwisho na anacheza mziki bandika bandu bila kupumzika, thats Kasie.
Ahsante, nipo masubirio kuingio lebaPole,unaumwa nini?
Kama sio taarab basi hawezi kuujuaOk if true niambie mziki gani unatumbuiza saa hii,.
Hahahaaa hii ndo raha ya kubundi au poporing napenda sana kuhama kiwanja kimoja kuelekea kingWeekend raha,nahamia kiwanja ingine til morning,kesho kulala tu.
Waonane wapi ndugu???Tarime na text aka SMS mumeonana au bado??? mtupe update za apo