Tarime one
JF-Expert Member
- Nov 12, 2013
- 2,246
- 1,742
Ni kawada weekend kutoka au kupumzika home, vp wana MMU unajirusha pande zipi, me nimeamua kumalizia weekend yangu pande za Mwenge kalabash tunaserebuka hapa kwa kwenda mbele.
Niko juu ya kitanda
Niko juu ya kitanda
Hahahahhh,kwani kuna anaelala chini ya kitanda.
kitandani na kero juu kuna wazaramo hapa wanapiga taarabu shenzao kelele aahhh
????????
Ni kawada weekend kutoka au kupumzika home,vp wana MMU unajirusha pande zipi,me nimeamua kumalizia weekend yangu pande za mwenge kalabash tunaserebuka hapa kwa kwenda mbele.
eh tupo kiwanja kimoja, umevaaje nije tusalimiane?
Naweza kukusaidia tatizo lako kama hutajali
Hamna shida usijali
Ni kawada weekend kutoka au kupumzika home,vp wana MMU unajirusha pande zipi,me nimeamua kumalizia weekend yangu pande za mwenge kalabash tunaserebuka hapa kwa kwenda mbele.
Nasubiri mrejesho
eh tupo kiwanja kimoja, umevaaje nije tusalimiane?
Niko hapa counter kwenye corner huku mwisho. Hebu unisabahi basi. Ukiona mdada anavuta sigara ndo mie