Weekend Story! The Workaholics Silence

Nafikiria Harry ataishia wapi n Vipi kuhusu Stacy alipata mimba au Aje... And Gill Vip atafulia au Aje Naje
 
Mxxxxuuuu. We mtoto uwe na adabu, naongea na babako. Enjoy the ignore.

Jamani wanawake na wasichana MMU kaeni mbali na wajalaana waliochanjiwa mtongoza badala ya mdinar, bora waliochanjiwa mpaundi ingawa unashuka thamani si haba si sawa na kukosa!
Mamii za kupoteana,mambo vipi? lete mkwara kidogo basi au vipi?
 
Daah!harry kaniangusha sanaaa ila namuelewa kwa situation aliyonayo
 
Anachofanya director wa hii movie ni kutunyanyasa kisaikolojia ila harry kazingua ndo mambo gan hizi za kupiga wanawake

Team harry keep quiet sio muda wenu huu na leo sijui mtalala wapi mana mshaharibuuuuu huhuhuu watu na madili yetu ya dengu sijui mbaazi Khakhakhaaaaaa
 
Iv ki uhalisia na kwa maisha ya kawaida alichokuwa anafanya Stacy kwa mpwa wake Harry ni sawa au ni kumvunjia heshima?

Maana haya mambo ata kama ni story inabd kufikiria nje ya box, any time inaweza kukugeukia na kuwa kweli.

Ndo tusubirie sasa pre - utabiri sometimes siooo! But Stacy alisema harry anamfanya falaa akirudi anawatimua wotee ndokuja na wazo la hostel! teknik yenyewe ya stori hii ni flash back so tutajuaga badae
 
Unajua kitu kinaitwa.... mapinduzi!

Sa kama peacefully imeshindikana unategemea nini kama si mapinduzi?? Na bado armed struggle inakuja hasa kwa wenye pesa zao kina Gill huhuhuu maisha hayana formula ohoo!
 
Inamaana huyu Stacy anatoa chezo free kwa mwanetu Harry akitegemea mtoto mzuri kumbe maskini huyo mtoto sio wa Harry, hii ikishtukiwa na Stacy akili ikiamka tutapigwa stop gegedo na tutafukuzwa mithili ya mbwa mwizi. Mitaro itahusika kwenye suala zima la malazi.
 

Umegoma kabisa kuja kufua mashuka kwa Mujungu? Sema kwanza upo upande gani. Nakujua wewe utakimbilia kwa Gill tu...usiniangushe safari hii. Join us @ Harry.com
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…