lara 1
JF-Expert Member
- Jun 10, 2012
- 15,700
- 29,190
- Thread starter
- #561
Stacy kajiinua inuaa pale, mwili wote unamuuma kama kapigwa bomu la B52. Kil sehemu ya mwili ina maumivu makali sanaaaa. Akamuuliza Imelda bado unapumua? Nae anajizoa zoa, akajaribu kuji inuaa, akashindwa akajilaza kwanza kukusanya nguvu. Hoiiiii. Akawaaita kina dada waingie ndani kwanza. Akamwambia hawa wasiende shule leo. Akaingia ndani kwake, kujitizama kwenye kiooakapiga kele yewiiiiiiiii! Image yake ya kwnye kioo ilimtishaaa sanaa. Anasikia maumivu akajua lazima kuna mbavu imevunjikaa. Jicho limevilia damuuu. Mwili mwekunuuuu, uso ndo hauna hali. Kuna sehemu weaving limengoka na nywele. Kasheshe.
Akaingia kuoga kwanzaaa, akawasha heater. Maji anahisi yamuumaaa. Akajikanda kanda ila badooo uso unaonesha amekula nakos za kutosha. Akavaaa, akapaka heavy make up. Ka apply quote 5 za makeup ili tu asionekane kavilia damu na alama za vidole, kidogo ikawa atleast. Ila ndo anaona jicho moja, jingine limeumuka lile lililopatwa na ngumi. Akatoka akamkuta Imelda kajilaza pale pale bado anakusanya nguvu. Akamwambia jizoe zoe twede hospital shoga angu, huenda mbavu zimevunjika ndani kwa ndani. Tuwahi mapemaa mambo ya aibu hayaaa.
Wkafika, wanaulizwa kimewakuta kimbunga gani? Katrinaaa au Lilly? Aiseeee. Stacya aksema tumeanguka na boda boda tulipanda mshikaki. Wakaanza kuchekiwa. Wakaambiwa kuvunjika hamjavunjika sema inaonekana mmevilia damu sana. Wakandikiwa dawa za kupunguza maumivu. Akamrudisha Imelda, akaenda ofisini sababu alikuwa na presentation muhimu sanaa. Kichwani katupia hijab ya kizushi zushi kuziba nywle zilipongokaaa.
Kafanya presentation ila kila mtu alikuwa anajua hali si shari. Wanatoka kila mtu anamuuliza Stacy vipi? Aaaah nimeanguka na boda boda. Akaingia ofisni kwake, akaliiiiaaaa. Alilia kwa mengi saaa. Kwanza maumivu makali sanaa, pili frustrations tu, what did she do to deserve all these, tatu mambo yake hayaendiii tu. Kama mikosi kilajema analofaya linageuka chunguuuu.
Akiwa analia bado, akaingia Gill ambae aliwepo kwenye meeting asubuhi. Stacy akajikaushaa machoziii. Gill akamuuliza "He laid his hands on you? That bastard! Nitamnyongaaaaa. Afu ame kupiga kama anaigana na mwanaume." Stacya najitetea sio hivo, nimeanguka na boda boda trust me. Gill anamtikisia kichwa hapana. "I dont wanna know the reason, this is not acceptable. Stacy you are better than this. He is a monster. Kokote nitapo mkutaa halali yangu, matter of fact naanza boxing taraining classes just for him so that i can bust his balls professionally" Stacy akawa analia tuuu. Gill akamuuliza "Umeenda kuhukua RB Polisi?" Stacy akatkisa kichwa. Gill akamwambia "Twende sasa hivi mguu kwa mguu" Stacy akanza kusita na kutoa sababu, Gill akamkomaliaaa "Bila RB he will be back, and he will hit you again and again. Tumchukulie RB so that he stays far away from you." Stacy akawa to frustrated. Akaamua kwenda na Gill huko Polisi.
Wamefika pale, Stacy katoa maelezo mengi sanaa, Gill anasikiliza na kutukana maana anazidi kuona upumbavu mtupuuu. Wakapewa RB. Njiani Gill akaitoa copy. Stacy akaomba arudi nyumbani maumivu aliokuwa anayasikia si madogo, akapewa siku 3 za kujiuguza nyumbani. Gill akamsindikiza nyumbani akamuona na muathirika number 2 wa hurricane Katrina, akawaza Harry itakuwa maisha yamemla Tigo kweli kweli he is reduced to nothing apart from women boxing matches. Ama kweli kufulia kubaya sanaaa. Akaenda mpa kwa mjumbe kumtaarifu kuna muhalifu anamsumbua Stacy, RB yake iko valid kabisaa, mjumbe akisikia kele au nini akamuachia namba ya simu.
Stacy amejilaza ndani kwake anajipa moyo huyu harudiii maana nina RB yake, il jamaniii sio kwa kipondo kile. Unavosiia watu wanauliwa na wake zao, au waume zao ndo kama hivi hivi. Unapigwa maskini mpaka unajifiaaa. Mxiuuuuuu. Maish hayaaaa. Akasikia sms imeingia. Kuiangaia hivi Harry. Akasema ngoja niisome.
"Baby i am so sorry i laid a hand on you, im so so so sorry. I can explain ila these days i am so bitter, envious, and i cant control my anger. Nafanya vitu mpaka najiogopaaa. Of which nikikaa baadae naregret, natetemekaaa, najutaaa. Nimekuwa tu na majutooo. Like when i realized what i have done roho imniumaa sanaa, nimesikitika sanaa. I swore to becom a better person. Please nielewe cant explain ila im in a very difficult position. I wont bother if all of the world ikinikatia tamaa, but ukinikatia tamaa wewe Stacy i will be alone in this world."
Stacy akasoma ule ujumbe, hakujibu, akaendelea kujilaza apate nguvu kidogooo. Ikaingia tena ngine huyo huyo Harry. "Baby please i love you so much, say something to me, naumia sanaa unavokaa kimya, hata nitukane au vovote but say something please. Anything." Stacy akasoma hakujibu akaende kulala.
Ikaingia ingine "Baby nachanganyikiwaa, napata uchizi, i can take ignoration from everyone, i can handle being deserted by evey one, ila you are my world. Say something pleaseee. Naumiaaasanaaa unavokaa kimya. Naumia sanaaaa. Nina hali mbay sanaaa hapa nilipo, nina msongo wa mawazo." Stacy akaisoma ile sms, akasonya tu. Sasa nani anumia sanaa Myweather au waliopigwaaa. Zikawa zikiingia ana delete tu bila kusomaaa.
Gill njiani akampigia Harry simu haikupokelewa. Akamuandikia sms "Nina RB yako, nakutafuaa, nitakupataa, nitakuweka ndaniii na ulivofilisikaa, nitakuozeshea ndani, nitahakikisha hutokiii leo wala kesho. Na ole wako uende wa Stacy kuna RB yako kule, na amesha file retraining order against you women abuser. If you see me start running" Akamtumia hio sms. Haikujiiwa. Akamtumia picha ya ile RB.
Kufika jioni Malika akaja kumuonaa, akasikitikaa akawa aampa darasa" Shoga siku ingine akiwa anakupiga usikae defenceless fight for your self, hata kama huna nguvu mpige hata na glass, remote, chochote kilicho karibu yako. Ukiwa unarudisha mashambulizi wanaogopaa. Usikae hivi kinyongeee. Mngatee, mtemee mate, pambanaaa. Na akiwa anakupiga shoga fanya yoote ila usisahau kuziba uso maana ndo reception yenyewe hio." Stacy akawa anachekaaa tu. Akicheka anaumiaaa.
Akaigiwa smu n Gill, bwana mkuu wa kituo amempigia Gill kaenda kituoni juisalimishaaa. Khaaaaaaaaaa. Kwa hio wanae pale washamuweka mahabusu. Yeye Gill yuko njiani kwendaaa hapo kituoni sasa. Akawa anamwambia Stacy haelewi kwanini kajipeleka ila akifika huko atajuaaa. Stacy akawa anawazaa na kuwazuaaa. Akajikokota mpaka kwa Imelda chumbani, kamwambia unajua Harry akaend akujisalimisha polisi. Imelda akastukaaa. Stacy akaondoka.
Imlda akakaaa mda kweli, akajitafakarii akampigia baba yake simu for the first time in years, kumwambia sasa habari yote na Harry kawekwa ndani. Mjomba wake akasema ngoja nikamwekee dhamana. Stacy akajilaza kabisaa, na usingizi ukmpitiaaa. Inafika saa 4, Mjomba wake anampigia Imeld imeshidikanakumtoa huku, naonesha kawekwa na watu wazito sanaaa. Akaenda kumwambia Stacy kamtoe Mjomba hatarudia tenaaa, amekomaa. Stacy akamwabia mwache alale siku 3 hivi akili zimkae sawaa. Atolewe na mtu yoyote ila sio mimi kwa kweli si kwa kipondo hiki.
Ameka mpaka saa 6, akamuuliza Imelda washamtoa huko? Imeda yupo badooo, hamna hata dlili, manake mkuu wa kituo kashadadia sanaa, baba bado yuko huko ila hali si shwari mjomba bado yuko mahabusu. Saa 8, Stacy akajikokota mpaka kituoni, akawakuta pale, zamu wameingia ingine. Akajieleza nimekuja kufuta kesi y domestic violence, shambulio la mwili na jaribio la kuua. Akawapa RB, wakaanglianahii si kesi ya mkuu hii. Stacy akasema do nimekuja kuifutaaa. Mi ndo mshtaki, nimeghairi kushtaki, muacheni mtuhumiwa huru. Wakampigia mkuu wa kituo, wakaongea nae wakaambiwa subiri.
Stacy akaona Gill calling, hakupokea. Zikapigwa kama 10. Baade plisi wakaambiwa kama mlalamikaji amekuja kufuta kesi basi sawa muachieni mtuhumiwaa. Polisi wakamwambia mngoje hapo muondoke wote. Police analalamika " Mi ndo maana wakija wake za watu kufungua kesi nawatimuaa, ni upoevu wa karatasi tuuuu, sasa ndo nini kafngua kesi asubuhi kwa mbwe mbwe simu kibao za wakuu usiku huukeshaifutaaaa. Ndo maana jamaaa alijisalimisha anajua demu hana ujanja kwake. Na kesho anambutua tenaaa, si tupo hapa." Stacy akaondoka mapemaaaa kabla Harry hajtolewa ndani.
Police anawambia mkeo keshakuja kukutoa, fanya uende nyumbani, baridi kali ameshaumiss mpini. Hahahaaaaa!Harry yuko yuko wapi? yuko wapi? Policeyuk toka bwanaaa untujazia selo. Ushafutiwa kesi, poteaaa. Akatoka nje fastaa kamtafuta Stacy hajamuona wala nini, sema ndo akamkuta mjoma wake, wakaenda nae nyumbani.
Usiku kucha anatuma message kwa Stacy, thank you baby, i know you love me so much, thanks for loving me at this difficult time, when it is not easy to love me. I love you too, i cant wait w be together again. Na mambo kibao yasiyo na msingi. Ikawa zingine anazisoma, ila nyngi anafuta bila kusomaaa. Na hakumjibu hata mojaaa. Uso ukapona, ila nywele ikabidi anyoe style maana alivimba vimba na kichwa ikawa anahitaji kujikandaaa kichwaa.
Siku hio akawa kaenda kwa shoga ake uswahilini kupiga story, akapita mlevi nje anamuita mume wa huyo dada, wewe Steven, twende tukaleweeeee. Mwanaume unakaaje ndani. Umolewa na mkeo siku hizi. Kunywa pombe ikuzoeee. Mume wa yule dada kumbe hakuwepo mda huo. Yule dada akwambia nina matatizo wewe shoga angu, mume sinaaaa! Yaani ni mlevi mlevi bwaaa. Akilewa hapa si mtu kabisaaa. Na majaribu wew niache tu.
Stacy ane akamsimulia majaribu yake, na kila kitu mpaka kupewa kipigo heavy. Dada anamwambia wewe usiangalie ubaya wa mtu, usihesabu vibaya hesabu zile best times na best memories. Msamehe tu mbona utafurahiii. Ashakomaaa. Mbwa ukimjua jina hawezi kukusumbuaaa. Shoga angu we boss hushindwi kuimudu familiaa na kumsupport mwenzio. Mradi tu utie nie na kuridhikaa. Mtu unavomsamehe vitu vikubwaa ndo inajenga sasa ule msingi imaraaa wamahusiano. Bila kupitia majaribu makubwa makubwa mnakuwa badooo hamjapendana. Upendo haupimwi kwenye raha unapimwa kwnye shidaaa.
We anaza kumsemesha kama hamna kilichotokea, mchekee, ishi nae kama mjinga vilee, aibu zake ndo zita mtafunaaa na kummaliza ndani kwa ndani. Wanaume wakiwa hawana hela wana panic hatariii. We unamjulia tu, kama hela sio lazima akuombe ile kuktamkia, unaweka tu kama kabatini au kwenye droo ya kitanda akitaka anachukua. Biashara ukimwambia nikanzishie atakataa, unaanzisha weweunamwambia sina mda wa kumanage, ataanza kuimanage yeye. Hivo hivo unakuwa understanding mnaendaaa. Na huko ndo kupendana na kuonesha ukomavuuu wa kimapenziii.
Hakuna mwanaume mzuri wala mbaya. Harry yul usipomkatia tamaa, mkakakokotana hivo hivo akija kusimama tena wale wale wanaokuchek nae sahivi wataanza kumuonea wivu. Na ukisema utupilie mbali, nako watu watakuona gaidi vil vile umempenda alipokwa nacho, hana ume mdelete. Ila inawezekana kabisaa ukiweka niaaa. Akamsimulia ya ndaniii humo kwake mazitooo makubwaaa, anamwambia si unaniona bado nipo, nipo gadooo sijkata tamaaa. Sasa ya kwangu utayafananisha na hayo ya kwako?
Stacy akamwambia pole shoga angu ndo maisha hayo. Wkaongea ongeaa akaondokaa. Njiani akwaza hakuwahi kujua kama yule dada ndoa yake ina majangas tena makubwa hivooo. Akimuona ofisini kama mtu wa maana kumbe hamna kitu anavumilia tu. Ndoa hizi jamanii. Yeye kushi kidogo tu almanusra imtoe roho. Sahivi imebakia kutumiana sms tu. Imelda ashaenda Hostel ila dogo yupo. Harry kabakia kumtumia sms tu kila siku amabazo hazijibiwi. Ikaingia simu ya Gill.
Akaipokea na kumsikiliza. Lalamiko lake kubwa ni kwamba kapropose kwa Malikaa, anataka amuoe, ila Malika amekataaa. Stacy kasema kuna watu wana nyota, nimekaa na Gill naibembeleza ndoa miaka zaidi 10 na sikuipata ila Malika hata mwaka haujaisha anabembelezewa ndoa tayari. Kamaniii. Akasema kweli ndoa zinaandikwa mbinguni na waliondikiwa ndo wameandikiwaaa lazima zitimie.
Akarudi kwake, mda ulikuwa umeenda imekaribia saa 5 usiku. Kuzurura majumbani mwa watu inakula mda kweli. Akawa anatafakari ushuri wa yule dada haumaliziii kabisaaa. Kufika getini anamuona mtu kasimama kwa mbali tu akajua yule ni Harry. Mmmmh moyo ukamfanya Paaah.
ITENDELEA KESHO SAA 7 MCHANA.