Weekend Story! The Workaholics Silence

Weekend Story! The Workaholics Silence

Me nisha jiandaa kifikra Gill ata yy anaweza kuja kupigwa vile vile na huyu dem mfanya biashara pia ila .............
Ndio maana nabaki kùsoma lara hasomeki hachelewi kubadilisha gia angani huyo.
 
Harry,.....is a good man but kapigika mpaka amedata.... unajua ukiwa huna hela kila mtu unamuona mchawi..

Usichezee ukame kaka, ukata ni ugonjwa mbaya sana. Nimefarijika tupo team moja.
Kinachomsumbua Harry sasa hivi ni ugonjwa hatari wa kufilisika.
 
teh teh mimi naogopa na kuchukia wanaume wanaopiga wanawake,ingekuwa Mimi ni Stacy angeondoka usiku huo na virago vyake
 
hapa team Harry lazima muutafute mpira kwa tochi
Hfhahaahahahahah daaah harry anatia huruma kwakweli

Gill nomaa salute

Ila mhhh!! Huyo malika Nina mashaka nae asije kuwapiga mshiko mkubwa wakajuta huyo Gilbert na Boss wake
 
Shiiit, TEAM HARRY sasa baada ya maisha kumjambia kaamua kunyea kambi kabisaaaa........mwanaume gani anampiga mwanamke tena ambaye kajitoa namna ile kumsaidi kipindi cha kiangazi ana pepo nini? ngumu kumeza kwakweli.
 
Hahahahaahhahahahah Harry kawa may weather hahhhahhahah daaah u-broke mbaya sana.

Nishawahi kushuhudia watu walitetereka kiuchumj wakiwa mabondia wazuri Wa wake zao halafu hawana hata shilingi kumi mfukoni.

Daaaah lara1 hiki kipaji chako maridhawa Fanya fasta uje na hiyo blog tutaipa promo fasta
 
Iv ki uhalisia na kwa maisha ya kawaida alichokuwa anafanya Stacy kwa mpwa wake Harry ni sawa au ni kumvunjia heshima?

Maana haya mambo ata kama ni story inabd kufikiria nje ya box, any time inaweza kukugeukia na kuwa kweli.
 
Harry. My man kapigika lakini hachukui dharau at kwa kuwa kawa lofa...msimamo and nampa big up
Sasa ndio ajichukulie sheria mkononi, mbona mwanamke mwenyewe anaonekana cooperative sana hakuwa violent kiasi cha yeye kuamua kumtwanga makondo kiasi hicho? Stacy mbona alimuomba msamaha baada ya kuona kakosea.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom