Same here nimecheka mpaka machozi dada alivyotoka mbioooo jamani nilikua team harry kimya kimya ila i hate guys wanaopiga wanawake, insecure guys kama harry am no longer team harry...!!!Big up @lara1 navyokupenda Mungu pekee ndo anajua...!!!
Mmmmm mmmmm yani sasa Harry kanya kabisaaaaaa duuu Gill akijua Stacy kapigwa aiseee Harry atafanyiwa umafia balaa
Hhahaha muda si mrefu mtacheka maana yule dem mfanya biashara simuamin ata robo yule kama sio tapeli sijui kama ajaja wapiga kina Gill ela yote wafunge na office wamefilisika sijui!!! Ngoja niendelee kuusoma mchezo.Yaani ubaya wote uliotufanyia Jana nikajua Leo tunapumua kidogo kumbe ndio kwanza umezidisha dozi. Team Harry kazi tunayo japo Kambi hatuhami ila mikuki ya moyo itatuhusu sana. Naona kuwa team Harry inabidi uwe na kichwa cha mwendawazimu.
Uwanja wa Nyumbani hatuwezi kupoteza naHivi unajua kombinesheni ya Stacy na Harry lakini? Huyu mtanange hata halftime bado. Weka akiba ya maneno.
Mwanaume akiwa Hana ela maranyingi anakuwa kamili mkali sijui kwa nn kila jambo ukisema mwanamke anaona unamzarau kisa huna ela.Usihame Kambi tafadhali, hata Mimi sipendi MTU anaenyanyasa wanawake ila jaribu kuielewa kidogo hali ya Harry na mapito aliyopitia. Please, baki team Harry.
Mwanaume akiwa Hana ela maranyingi anakuwa kamili mkali sijui kwa nn kila jambo ukisema mwanamke anaona unamzarau kisa huna ela.
Wenye mioyo myepesi jiandaeni, nasikia Harry Kaolewa na STRACY
wewe ndiye unaongoza kwa kuishi kwa matumainiAaaah wapi! Gill ataishia kama mzee wa chumvini kwenye ubuyu wa the art of staying in marriage.
Wenye mioyo myepesi jiandaeni, nasikia Harry Kaolewa na STRACY
nimejikuta nacheka kwanguvuwewe ndiye unaongoza kwa kuishi kwa matumaini
Tena kanya na kupakaza kabisa inshu dem akiwa na mimba sijui itakuwajeha ha ha ha ha ha dada katoka nduki hatar si kwa kichapo kile cha wenzie ila harry kashanyea kambi aisee
Sio kirahisi kihivyo huyo lara kupindua meza Dakika moja nyingi wacha niisome bila pressure.Njoo kwa Gill amna stress
Matumaini kwenye maisha muhimu sana, ukiona umeishiwa matumaini kabisa, andika wosia mapema🙂
Tena kanya na kupakaza kabisa inshu dem akiwa na mimba sijui itakuwaje
Me nisha jiandaa kifikra Gill ata yy anaweza kuja kupigwa vile vile na huyu dem mfanya biashara pia ila .............Sio kirahisi kihivyo huyo lara kupindua meza Dakota moja nyingi wacha niisome bila pressure.
Tena kanya na kupakaza kabisa inshu dem akiwa na mimba sijui itakuwaje